Ushauri kwa diploma wenye GPA chini ya 3.5

kiboko samson

Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
73
Reaction score
74
Jamani anaefahamu kuhusu foundation course ya kujiunga na OPEN UNIVSRSTY kwa mwenye GPA ya chini ya 3.5 ufafanuzi kuhusu hiyoo course ipoje nainaendeshwajee
 
Swali lako halijaeleweka!! Ukiwa na GPA ya chini ya 3.5 hiendi chuo kikuu chochote Tanzania hii hata hiyo OUT utaisikia tu.

Foundation course imefutwa!!
 
Jamani anaefahamu kuhusu foundation course ya kujiunga na OPEN UNIVSRSTY kwa mwenye GPA ya chini ya 3.5 ufafanuzi kuhusu hiyoo course ipoje nainaendeshwajee
kwel chuo kikuu mtakisikia kweny bomba omben warudishe GPA yenu 2.7 vinginevyoo tafuta plan B
 
Back
Top Bottom