Ushauri kwa Diploma Holders pekee

hassan mdidi

JF-Expert Member
Apr 13, 2014
421
167
Habar wana jf,

Ningependa kuchukua fursa hii kuwajulisha kwa wale diploma holders wenye lengo la kutaka kuendelea na higher education ktk chuo cha UDSM sifa stahiki zinahitajika na kwa wale wasio na hizo sifa nibora wakaangalia vyuo vingine.

Hizi ndizo sifa stahiki

{1}uwe na credit pass3 & above mfano A B C na Ds kuanzia3 kutoka ktka chet cha o'level

{2}uwe na GPA 3.5 & above kutoka ktk chet cha diploma
hiv ndivyo vigezo vya hapo

Onyo: Usichague UDSM kama umepungukiwa na hizo sifa

Ushauri: Kabla ya kuapply chuo chochote kwanza soma vigezo vyao vinginevyo utatoswa.

Mimi sina mengi ila reference watakuja leta wa diploma walio apply last year hapo.
 
duhhhh hii sasa kali, so mtu kama una GPA ya 4.5 alafu O-level huna izo credit then huna sifa ya kusoma UDSM? lakini pia mwaka jana kuna rafiki yangu alitemwa kasoma DIT diploma in civil engineering akapata GPA ya 3.7 na O-level alipata Division 1 Ya point 16
may be useme UDSM wameacha kuchukua diploma holders
 
Habar wana jf
ningependa chukua fursa hii kuwajulisha kwa wale diploma holders wenye lengo la kutaka kuendelea na higher education ktk chuo cha UDSM sifa stahiki zinaitajika na kwa wale wasio na hizo sifa nibora wakaangalia vyuo vingine, hizi ndizo sifa stahiki
{1}uwe na credit pass3 & above mfano A B C na Ds kuanzia3 kutoka ktka chet cha o'level
{2}uwe na GPA 3.5 & above kutoka ktk chet cha diploma
hiv ndivyo vigezo vya hapo
onyo; usichague UDSM kama umepungukiwa na hizo sifa
ushaur;kabla ya kuapply chuo chochote kwanza soma vigezo vyao vinginevyo utatoswa
mim sina meng ila reference watakuja leta wa diploma walio apply last year hapo
D nayo ni credit?????
 
hizo ndo sifa wanazoziitaj mkuu kwan hata hivyo prority nahisi huchukua 4m6 so nafasi za diploma hua ni chache sana na hazina priority sana hata uwe na gpa 5.0
 
Habar wana jf
ningependa chukua fursa hii kuwajulisha kwa wale diploma holders wenye lengo la kutaka kuendelea na higher education ktk chuo cha UDSM sifa stahiki zinaitajika na kwa wale wasio na hizo sifa nibora wakaangalia vyuo vingine, hizi ndizo sifa stahiki
{1}uwe na credit pass3 & above mfano A B C na Ds kuanzia3 kutoka ktka chet cha o'level
{2}uwe na GPA 3.5 & above kutoka ktk chet cha diploma
hiv ndivyo vigezo vya hapo
onyo; usichague UDSM kama umepungukiwa na hizo sifa
ushaur;kabla ya kuapply chuo chochote kwanza soma vigezo vyao vinginevyo utatoswa
mim sina meng ila reference watakuja leta wa diploma walio apply last year hapo
Hivi hizi GPA huwa wana-Calculate vp?
Nikiangalia Transcript yangu naona A, B tu lkn hamna hiyo GPA.
Msaada wenu tafadhari.
 
aya sasa chukua na uiangalie vizur hiyo transcript yako na hapo utaona jumla ya masomo na credit zake kwa kila semista
jumlisha hizo credit zoote na kisha jumlisha jumla za asilimia{max} za masomo hayo alaf jumla ya max hizo gawanya kwa jumla ya hizo credits jibu ndo GPA kwa semista ya kwnza.
utafanya hivyo tena na tena kwa kila semista
kisha chukua jumla ya GPA ya semista hizo tangu mwaka wa kwanza had wa mwisho gawanya kulingana na idadi ya semista hizo utakayopata inaitwa
mfano: GPA ya semi ya kwanza=3.0, yapili=2.9, tatu=3.1 na ya nne=2.7
3.0+2.9+3.1+2.7/4= 11.7/4=2.9
OVERAL GPA=2.9
kama namba inakadirika unaweza kadiria
HAYA FANYA NA ULETE MREJESHO
 
Ila kumbuka unapoapply hawaangalii overall GPA,wao wanaangalia NTA
Level 6 GPA ambayo ni average GPA ya mwaka wa mwisho wa masomo
 
nan kakwambia wanaangalia GPA ya mwaka wa mwisho wakat OVERAL GPA ipo? we kama umecheza miaka yote hiyo utegemee mwaka wa mwisho imekura kwako!
 
Mimi sio applicant kijana,hizo mambo nilizipita kitambo sana.
Tupo kuwasaidia waombaji. Nenda kaangalie guidebook ya nacte wanakwambiaje wanaconsider kitu gani zaidi then utanipa jibu
 
zimetoka lini hizo guidebook?

Mbona nacte walishatoa guidebook yao asee,kumbe unaongea kitu ambacho hukijui?!
Kikubwa kinachosubiriwa ni TCU nao wafungue udahili wao wa pamoja ili mtu anaeomba kupitia nacte aweze kuwa na access na universities ambazo zipo chini ya TCU
 
nan kakwambia wanaangalia GPA ya mwaka wa mwisho wakat OVERAL GPA ipo? we kama umecheza miaka yote hiyo utegemee mwaka wa mwisho imekura kwako!

Wanaangalia GPA ya mwaka wa mwisho tuu, ndo maana ukaambiwa NTA Level 6.
 
Mbona nacte walishatoa guidebook yao asee,kumbe unaongea kitu ambacho hukijui?!
Kikubwa kinachosubiriwa ni TCU nao wafungue udahili wao wa pamoja ili mtu anaeomba kupitia nacte aweze kuwa na access na universities ambazo zipo chini ya TCU

Ahahahahaha halafu utakuta nae ana GPA ya 4.5, anabisha kitu ambacho hata hakijui. Guide Book ilishatoka na kigezo ni NTA level 6.
 
Hivi hizi GPA huwa wana-Calculate vp?
Nikiangalia Transcript yangu naona A, B tu lkn hamna hiyo GPA.
Msaada wenu tafadhari.
we hauko serious na kusoma, haiwezekani umalize diploma halafu hujui ku calculate GPA!!!!!!!
 
Sawa, naomba unifahamishe ndugu yangu namna ya kupata GPA kwa matokeo yenye mfumo wa ABCDEF!
Sasa hivi niko Serious ndugu, ndomaana naanza kuuliza ili nifahamu.
 
huu ni mfano katika chuo kimoja hivi ili upate mwangaza kidogo!, kwahiyo unaweza ku calculate ukapata majibu
gpa.PNG
gpa 1.PNG
 
Back
Top Bottom