50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,139
- 4,124
kwa hali ilivyo sasa, inabidi uwe na MOYO na NIA ya KUUA Raia pekee ili uweze kuitetea CCM kisawasawa.... Mikono ya watawala imejaa damu na hii inawajengea kibri moyoni na fikra kandamizi kichwani. Siku ya kuiondoa CCM iko karibu zaidi ya watawala wenyewe wanavyotafakari...