Ushauri kwa CHADEMA kuhusu jimbo la Moshi Mjini

Ushauri kwa CHADEMA kuhusu jimbo la Moshi Mjini

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Habari zenu wana jamii forum,

Ujumbe niliotaka kuwafikishia uongozi CHADEMA makao makuu na wa mkoa wa K'njaro, ni kuhusu uchaguzi mkuu 2015 jimbo la Moshi Mjini, kama tulivyoona mzee wetu mpendwa Ndesamburo kazeeka na sidhani kama atagombea tena next time, basi kama hatagombea tena mimi binafsi nampendekeza kijana machachari na mwanasheria maarufu ndg Albert Msando kwasababu huyu jamaa nimepata bahati ya kuona interview zake yupo vizuri sana na ni mtu wa misimamo, pia yupo committed na chama.
 
Habari zenu wana jamii forum,
ujumbe niliotaka kuwafikishia uongozi chadema makao makuu na wa mkoa wa k'njaro, ni kuhusu uchaguzi mkuu 2015 jimbo la moshi mjini, kama tulivyoona mzee wetu mpendwa ndesamburo kazeeka na sidhani kama atagombea tena next time, basi kama hatagombea tena mimi binafsi nampendekeza kijana machachari na mwanasheria maarufu ndg Albert msando cause huyu jamaa nimepata bahati ya kuona interview zake yupo vizuri sana na ni mtu wa misimamo, pia yupo committed na chama,

Ubunge ni nafasi ya kuwatumikia wananchi sio chama, kama yuko committed na chama kwa nini haumpendekezi agombee uenyikiti wa chama mkoa?
 
huyo msando ana namba ya simu ya zito. bado hajaifuta hawezi kuchaguliwa kugombea moshi mjini sasa hivi chadema wanamtafutia zengwe wamfukuze kwenye chama
 
Msando kwa kweli hafai hta mabogini kwenyewe wanasema anadharau sana.
 
Atagombea ubunge kwa tiketi ya chama cha abakorakamo. Chama cha Waislam wa Ujiji, ACT

hahahahaha kaz kweli kweli....ana uhuru wa kuamua nan wa kushikamana nae kwa masilah ya future yake na chama na wananchi kwa ujumla
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana jamii forum,

Ujumbe niliotaka kuwafikishia uongozi CHADEMA makao makuu na wa mkoa wa K'njaro, ni kuhusu uchaguzi mkuu 2015 jimbo la Moshi Mjini, kama tulivyoona mzee wetu mpendwa Ndesamburo kazeeka na sidhani kama atagombea tena next time, basi kama hatagombea tena mimi binafsi nampendekeza kijana machachari na mwanasheria maarufu ndg Albert Msando kwasababu huyu jamaa nimepata bahati ya kuona interview zake yupo vizuri sana na ni mtu wa misimamo, pia yupo committed na chama.

Huu ndio utaratibu wa kupendekeza wagombea wa CHADEMA? Kama siyo ni vizuri ukafuta kauli yako kama ndiyo useme tuelewe na sisi tupendekeze watu wanaofaa. Kwa mtindo huu unaanza kampeni kabla ya wakati na jambo hilo ni baya. Unafikiri unamjenga mtu kumbe unamharibia kabisa. Au umetumwa na wapinzani wake ili uanze kumfanye achafuke ili huyo anayetaka apate wepesi?
 
Chadema hatuchagui watu kwa namna hiyo... Tumeanza na Mungu tutamaliza na Mungu
 
Ukitaka kuachana na propaganda,kama mbunge wa sasa mh.Ndesamburo hatagombea mtu ninayemuona anaweza na kwa kweli ameweza ni mstahiki meyor wa manispaa.Mh,Jaffary Michael.
Nalisema hili kutoka moyoni mwangu kabisa ni kiongozwa na uwezo wake katika kuendesha council.
Kama unataka kujionea maendeleo hususani kwenye miundo mbinu ndani ya miaka takribani 4,njoo moshi mjini.
Hawa jamaa wamefanya kazi kwa kweli na naomba mtu yeyote aliyekuja Moshi hivi karibuni au anayekaa Moshi anikosoe!
 
Back
Top Bottom