fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,541
- 8,996
sina ningewapigiaWamekusikia huna namba zao za simu!!
Jaribu kutafuta kwenye kurusa zao za jamiisina ningewapigia
sawaJaribu kutafuta kwenye kurusa zao za jamii
ni ile iliyokuwa tbc fmHii bongo fm ni ipi tena?
Kwani huwezi kutema?Yaani nisipumue wala kumeza mate unataka nife
Bongo FM majina ya vipindi vyao warekebishe.Sio kila mtu anaweza kusoma taarifa ya habari.Leo msomaji wa news hq saa 12 asubuhi kasoma vibaya sana,matamshi mabaya sana,kashindwa kutumia nukta,comma na anahema na kumeza mate kwa sauti.Na hivi ndio huwa kila siku.Lakini hii idhaa mmewatengenezea vijana,sioni sababu ya kutangaza news hq,vijana hawana mpango na news,au vinginevyo badilisheni format ya kutangaza hiyo taarifa ya habari.Mimi huwa napenda kusikiliza kipindi chenu cha michezo tu ndio maana huwa najiandaa nisikikose ndipo naanza na hiyo news hq
taarifa ya habari ina kanuni zake na pia kuna vifaa ambavyo vina control hayo mamboYaani nisipumue wala kumeza mate unataka nife
Ni kweli watafakari upya hayo manenoBongo FM majina ya vipindi vyao warekebishe.
Jina la Kipindi BAO LA ASUHUBI
Segment zake:-
-KILAINISHI CHA BAO LA ASUHUHI
-BAO TATU ZA ASUBUHI.
TCRA wawaambie wabadili jina la kipindi na segments zake zinaleta ukakasi.
Cc๐กTCRA
Kila kitu unaweza kufanya lakini kuna vifaa unatakiwa kuvitumia ili msikilizaji asisikie hizo sautiKwani huwezi kutema?
Mwenyewe nimejiuliza kumbe Kuna radio watangazaji wanahema hadi nje๐Hii bongo fm ni ipi tena?
Labda alitoka kwenye jogging ๐ ๐Mwenyewe nimejiuliza kumbe Kuna radio watangazaji wanahema hadi nje๐
ndio anahema unamsikiaMwenyewe nimejiuliza kumbe Kuna radio watangazaji wanahema hadi nje๐