Ushauri kwa Askofu Gwajima

Unachanganya madawa mkuu
 
Utawala ni utawala tu na kukemea uovu haijarishi unakema kwa mfalme au nani.

Je gavana aliyeonywa na paul naye alikuwa mfalme?
 
Soma vizuri biblia na Roho wa Mungu atakufunulia hana ubaguzi
Usijifiche kwenye Roho wa Mungu mkuu Roho wa Mungu ni yuleyule aliyemtokea musa na kumwambia akamwambie farao awaachie wana wa israel na sio ombi ndo huyo huyo aliye muongoza yesu kuvunja menza za wafanyabiashara hekaluni na serikali isimchukulie hatua
 
NI KIPI ALICHOKITENDA Ask Gwajima ambacho kimekupelekea wewe kifikiri/kusema KIROHO hayuko sawa.??
1)kushauri amevunja sheria ipi ya kikatiba au ya chama chake au ya nchi kushauri au kutoa maoni yake,na ushauri wake?

kukemea WATU WASITEKWE NA KUULIWA KAMA KUKU?

2)kuomba uhuru wake wa kuabudu na waumini wake.

3)KOSA LA GWAJIMA NI LIPI??

Tukiacha uchawa pembeni tukatumia akili za kawaida na elimu ya uraiaa ya shule ya msingi na haki za binadamu/haki za kikatiba..kosa lake ni kutumia haki zake kikatiba kutoa maoni yake??kushauri?kukemea utekaji ?NANI ANAPENDA UTEKAJI?hata wewe haupo tayari ndugu yako atekwe apotee?
nani hapendi uhuru wa kuabudu?hata wanao abudu ngombe wamepewa uhuru waabudu wanachokitaka ,ni haki ya binadamu ya kikatiba.
 
TU ASSUME GWAJIMA sio mtumishi wa Mungu kama unavyotaka,..tuassume basi anaabudu kitu kingine ,still bado ana haki ya uhuru wa kuabudu hata kama angekuwa ana abudu ngombe kama imani za wengine?
tu assume ni raia wa kawaida ,bado ana haki ya kikatiba ya kutoa maoni yake.
Na kama kuna kosa amefanya mamlaka zinazotoa haki zimuhukumu kwa haki ,bado pia ana haki ya kukata rufaa,kama ni mahakamani..etc
 
1. Sina uchawa na kwa umri wangu sintawahi niwe chawa.
2. Kwa kurejea kwenye biblia naona kosa alilofanya Yohana mbatizaji nae Askofu Gwajima amelirudia.
Unajua kilichomsababisha Yohana mbatizaji akatwe kichwa?
 
KILA AINA YA UTUMISHI UNA MAADILI YAKE
 
Kila aina ya UTUMISHI una mission kiongozi wangu.
 
Askofu Gwajima sijasema sio mtumishi wa Mungu isipokuwa amekengeuka na ni vema akarudi kwenye mstari kwa kufanya toba na sio kwa binadamu bali kwa Mungu
 
1. Sina uchawa na kwa umri wangu sintawahi niwe chawa.
2. Kwa kurejea kwenye biblia naona kosa alilofanya Yohana mbatizaji nae Askofu Gwajima amelirudia.
Unajua kilichomsababisha Yohana mbatizaji akatwe kichwa?
Tuachane na habari za biblia huna uelewa nazo na unapotosha.

tuongelee Gwajima kama vile sio mtumishi wa Mungu kama ulivyomuita,kama ambavyo unamuona mfalme Daudi na Yohana mbatizaji.
BIBLIA TUIACHE .

TUZUNGUMZIE
Gwajima kama mtazania mwanachi...KOSA LAKE NI LIPI bila kurejelea biblia.
tutumie tu sheria zetu na katiba yetu.
 
Sijatumia sheria za nchi Wala katiba yake hapa. Au kuna pahala nimetumia kwenye maelezo yangu?
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…