USHAURI KUUSU MKOPO YA BANK

USHAURI KUUSU MKOPO YA BANK

Eizyek

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2019
Posts
800
Reaction score
2,776
Abar wakuu me nikijana nimejikita sana kweny biashara na kupitia biashara nazo fanya nimefanikiwa kuwa na acount bank zifuatazo NMB CRDB BOA msaada wenu kwa walio wai kopa kweny benk tajwa apo juu benk gan inamasharti Rais kweny mikop na riba zao Asanteni
 
Duh, kwa uandishi huu nashawishika kuhoji elimu yako.

Nikirudi kwenye mada...mambo ya kibenki mara nyingi wanajali sana vigezo na taratibu tofauti na taasisi nyingine za mitaani kwetu, kwa mfano mtiririko wako wa mapato/kuweka na kutoa, urasmi wa biashara/shughuli unazofanya, yaani leseni, vibali vya taasisi husika kama ni mzalishaji wa bidhaa fulani n.k.

Kurahisisha mambo ni vizuri ukafika kwenye benki husika, mojawapo kati ya ulizozitaja hapo juu, nina uhakika utapata taarifa zote unazohitaji.
 
Mkuu me kuusu elim nimeishia form 2 kwaiy uo uandishi sijamaliza ata form four nashukuru
 
Duh, kwa uandishi huu nashawishika kuhoji elimu yako.

Nikirudi kwenye mada...mambo ya kibenki mara nyingi wanajali sana vigezo na taratibu tofauti na taasisi nyingine za mitaani kwetu, kwa mfano mtiririko wako wa mapato/kuweka na kutoa, urasmi wa biashara/shughuli unazofanya, yaani leseni, vibali vya taasisi husika kama ni mzalishaji wa bidhaa fulani n.k.

Kurahisisha mambo ni vizuri ukafika kwenye benki husika, mojawapo kati ya ulizozitaja hapo juu, nina uhakika utapata taarifa zote unazohitaji.
Mtu akiomba msaada unaweza amua kumsaidia au kutomsaidia na sio kuleta gubu, achana na matumizi ya lugha kasirishi.
 
Kujua mikopo imekaaje ni vzri kufka benki hizo ulizozitaja hapo maana wwe ni mteja wao tayari na kama uweza kuwa ana account zaidi ya moja basi mzunguko wako kifedha uko sawa.
Na pia kama utafanikiwa uje ulete mrejesho pengine na ssi tnaweza kuvutiwa tukafuata mayo zako japo mikopo nowadays ni kizungumkuti lkn tutajaribu
 
Mafanikio mema! Nenda Nmb. Riba zao kwa mwaka ni rafiki hasa kwa hiyo mikopo ya kibiashara.
 
Back
Top Bottom