Mwananjengo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 317
- 101
Mueleze tu msimamo wako na jinsi unavochukulia suala zima la yeye kujizoeza na wale kule. Na utoe amko rasmi je mtoto wewe msimamo wako uko vipi, unamlea au utajivua gamba?
Kuna tabia ya baadhi yenu hamtaki mtu ajihusishe na baby dady kwa lolote afu WAGUMU KAMA NYAMA CHOMA KUMUHUDUMIA YULE MTOTO matokea yake mnamuweka mama mtu kati. Ukiombwa ada na matumizi mengine wa kwanza kufungua bakuli lako "SI ANA BABA YAKE?" Afu mwenzio akiwa kwenye harakati za kujikombakomba ili ada itoke kwa urahisi WIVU unakujaaa! ni jambo lisilowezekana mawasiliano yakatike afu huduma iendelee. kama utkava kila kitu sioni kama kutakuwa na issue.
Mkubaliane kabla jinsi ya kulea motto huyo na mahusiano ya ndugu wa mwanaume aliyezaa naye. Theni make kwa muda mkiangalia utekelezaji kama ni sawa na makubaliano kabla hamjaanza kuishi. Ni tabu kidogo kama hawakuachana kwa ugomvi!!! Ninajua wale ambao pengine aliachana na bwana kwa ugomvi na kuwa hakuna mawasiliano mazuri mnaweza kuishi vizuri but wale ambao na mawasiliano wanayo!!! Mhhhhhh kazi ipo.
Hivi kijana mdogo kama wewe huwaoni mabinti wote wanaotoka vyuoni ambao wako fresh?Nna mahusiana na dada mmoja na nlitegemea awe mke wangu hapo baadae.Huyu dada ana mtoto na jamaa mwingine na alivyoniambia na kwamba hawana mahusiano tena na baba mwenye mtoto nkakubali ntamuoa.Cha kunitia wasiwasi ni ukarbu uliopo kati yake na familia ya huyo baba mwenye mtoto,yani wako karibu kiasi kwamba mtoto anaenda kulala huko.Huu ukarbu unanipa wasiwasi kama kweli waliachana au ni kunidanganya tu.Je baadae si utaleta shida kwenye familia yetu.Waungwana hebu naombeni ushauri wenu.
Hivi kijana mdogo kama wewe huwaoni mabinti wote wanaotoka vyuoni ambao wako fresh?
Hebu tazama kwa mfano huyo mama anaumwa na anahitaji damu na kwa bahati mbaya damu yako wataalam wanasema haimfai halafu anakuja mzazi mwenzake anapimwa damu wataalam wanaihafiki na anatolewa damu ili kumuokoa huyo unayemuona wewe ni mpya je baada ya kupona wewe utajisikiaje?
Na ukumbuke siku ya mtoto wao kuoa au kuolewa wao ndio watakaa high table kama Baba na Mama mzaa chema.
Mnatuchosha kila siku kuomba ushauri wa kijinga wakati mabinti kibao wanahitaji kuolewa.
mwenye mtoto na aolewe na mwanaume mwenye mtoto pia hapo ndio ngoma droo na siyo mvulana mzima na barehe zako unataka used.
Kuepusha pressure kimbiaaaaa sana tu!
Shida yote ya nini kuowa mwanamke mwenye mtoto wakati fresh wapo kibao. Kaka na wewe una mtoto sawa, go on. Vyema uoe mwanamke ambaye mtoto wake kakataliwa na aliye mpa mimba