Ushauri kuhusu Subaru Forestar

Ngoja niende nikajichungulie nimesahau jinsia yangu
haaaaa fanya fasta nipe namiaka yako bahadae naomba twende inbox maana sitokutumia hapa wachawi wengi maana hii thread ilikuwa na matusi kibao kwa wasiopenda maendeleo
 

Maelezo yako yanaonesha wewe ni mtu wa kipato kikubwa sasa kinakushinda nini kununua subaru? Mimi nawajua watu hawana hata nyumba moja wanaimudu kuimiliki. Iweje wewe mwenye nyumba nne ikushinde? Unasema inakula mafuta mbona sio kihivyo? Kawaida mi naona huna logic mnunulie tu
 
nadhani ungeisoma vema iyo nyuzi sijasema sina ila naona kwa mwanamama si poa sana kwanza hii gari iko more speed and inatumia mafuta sana atanisumbua tuuuu wife
 
nadhani ungeisoma vema iyo nyuzi sijasema sina ila naona kwa mwanamama si poa sana kwanza hii gari iko more speed and inatumia mafuta sana atanisumbua tuuuu wife

Speed si mpaka akanyage mafuta? Speed inategemea uendeshaji wa mtu. Hata mimi nimewahi kuitumia na kwa kuwa mi si mkimbiaji barabarani niliitumia vizuri tu. Haina shida
 
Speed si mpaka akanyage mafuta? Speed inategemea uendeshaji wa mtu. Hata mimi nimewahi kuitumia na kwa kuwa mi si mkimbiaji barabarani niliitumia vizuri tu. Haina shida
mwezangu wifi yako mcharuko tena hii ina turbo tutamkuta moi mimi nimemwambia kama hataki nitamtafutiq bajaj na dereva wake
 
Inbox kufanya nini?mie najua wewe ni boss sasa kwa kuwakomesha tupia picha za majumba yako na magari ili wakujue wewe ni nani
 
sio data zangu nilitumia jf kumtangaza mtu aliniomba mimi mbona nilisoma sweden toka form one mpaka chuo kwa huku tuseme hivi, ila primary nilisoma mzizima primary enzi zile so dogo acha presha

Mimi sina presha,ila jamaa ni mkali mno. Unaujua mfumo wa shule kiswedish? Sec ulisoma shule ipi sweden?
 
Ha ha ha!!
Nimecheka sana lakini kwako mkuu naona ni donge la moyoni.
Hiyo gari mimo ninayo, ni gari madhubuti, ina power, na barabarani waweza kutamba.
Pamoja na kula kiwese hii gari ni performance driven, barabarani kama mkeo ni hard driver, hakuna atakayemchezea.
ila jitayarishe tu, ni gari ghali hata kwa normal maintainance
Ila hata kwa V8 yako hebu ijaribu, you wont regret.
 
Yani una VX V8 halafu unatishwa na mafuta ya Subaru Forester?? Kuna jambo lingine hapa
 
Huu ni ulimbukeni tu, kuna haja gani ya kutaja mali na kazi yako kama lengo ni kupata maoni juu ya ubora wa aina fulani ya gari..? Nahisi hili ni DEBE TUPU, halikoshi mshindo.
 
Nimlete vp tena kaka mbona sikuelewi au unataka kumuoa , haaaaaa wewe umuwezi ana ghalama sana pia waukweliiiii

Yaani maandishi yako tu unaonekana ulivyo wa Mitaani na tapeli watu wana vichwa humu jamii sio kuleta porojo
 
Hawa ndio watu ambao wanaitajika kuchangia thread ya kimaendeleo kama hizi najua wote mnaopinga au matusi amna lolote hata iyo forestar ya 10 mil ina yashinda mnabaki kutupia matusi tu sio maendeleo si kupigana vijembe,umaskini tu ndio unaowasumbua amna lolote
 
Inbox kufanya nini?mie najua wewe ni boss sasa kwa kuwakomesha tupia picha za majumba yako na magari ili wakujue wewe ni nani
Sasa hii ni miongoni mwa nyumba zangu ambayo ipo maeneo ya sakina arusha ,sikai anakaa mlinzi nilikuwa nimeifanyia ukarabati kwa minajiri ya kuiuza lakini nimeghairi Poleni wapinga madevelop yangu, mwisho nawauliza who am i? Jibu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…