Ushauri kuhusu Subaru Forestar

Umesema kuwa wewe unamiliki v8,sasa kama unaweza kumiliki v8 ambalo linagugumia mafuta utashindwaje kumpa mke wako hiyo subaru,mnunulie hilo gari hayo mengine yatajisoma yenyewe.
 
mbwembe zako tupa kule. ila tambua subaru is a racing edition. gari ya wajanja hiyo kaka. wese, spare nenda pale zizzou mpango mzima. inawezekana mkeo kakuzidi ujanja.
 
Ushauri kuhusu subaru?
Au kuhusu kunyimwa unyumba...
Au kuhusu v8....
Au ....au....
 


Utakuwa mhaya
 

Linakula mafuta ?. wala usipate taabu njoo nalo hapa maryland mwenge ulinunulie supu au mtori. maana mafuta nasikia ni mabaya. kuhusu unyumba njoo meeda pub au afrika sana mida ya jioni. usisahau kuja na v8 ,mahana guest ni gharama mitaa hii.
 

mkuu unamiliki nyumba nne, una miliki v8....mkeo umemnunulia rav4.....lakini bado unaumizwa kichwa na mafuta ya subaru kiasi kwamba umekuja kuomba ushauri jf.....!!! Amazing
 
Story nzuri, nimeipenda. Hongera sana kaka mkubwa.
 
hahaha.. We jamaa inaelekea unapenda sana promo...
 
Subaru forester- confidence in motion hiyo v8 haifuati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…