tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
View attachment 176084Jamani mimi nina mke wangu nampenda sana toka tumeowana ni miaka 7 sasa ,tulianza na maisha magumu sana tunamshukuru mungu amefungua riziki leo tuna maisha mazuri sana, tumefanikiwa kujenga nyumba 4na kupata watoto 3 ukweli tuna mshukuru mungu,pia tumefungua biashara nyingi tu ingawa bado ni wafanyakazi wa serikali ya tanzania ,licha ya gari ya ofisini kwa upande wangu namiliki toyota landcruser v8 mali yangu binafsi hapo ndipo nae mke wangu nilipoamua kumnunulia gari yake ya kutembelea sasa toka nimemnunulia iyo gari aina ya toyota RAV4,ila toka nimemnunulia amelisusa na halitaki kabisa yeye anataka SUBARU FORESTAR TURBO STI ambayo iyo juu pichani mimi nimemkatalia hii gari kwanza inakimbia sana pia linakula mafuta sana hebu nisaidieni maana hata unyumba sipati nina wiki sasa!!
kaka linabwia mafuta hiloooooo mi naona tutasumbuana kakamnunulie tu, si unajua mchango wake kwako.
kaka linabwia mafuta hiloooooo mi naona tutasumbuana kaka
Au kababaika na hii body yake station wagonKumbe Kongosho ni kaka????
mnunulie tu kipendacho roho hula nyama mbichi
Eehee lakini kazuri zuri hiviUanaume wako ndo unapimwa hapa, kama kila kitu analosema mwanamke wewe unatekeleza sasa nani kaolewa hapo? Vitu vingine lazima uwe na maamuzi yako, pia mnatakiwa mshauriane, mjadiliane na mufikie maamuzi basing on arguments. Ni ujinga mtu kusema napenda hiki kitu bila grounds. Gari lenyewe halina hata shepu, huyo mwanamke naye ana shida kwenye ubongo wake
nina wasi wasi kama hapa lengo ni،kuomba ushauri!!!!!
unahisi lengo ni nini
nina wasi wasi kama hapa lengo ni،kuomba ushauri!!!!!
View attachment 176084Jamani mimi nina mke wangu nampenda sana toka tumeowana ni miaka 7 sasa ,tulianza na maisha magumu sana tunamshukuru mungu amefungua riziki leo tuna maisha mazuri sana, tumefanikiwa kujenga nyumba 4na kupata watoto 3 ukweli tuna mshukuru mungu,pia tumefungua biashara nyingi tu ingawa bado ni wafanyakazi wa serikali ya tanzania ,licha ya gari ya ofisini kwa upande wangu namiliki toyota landcruser v8 mali yangu binafsi hapo ndipo nae mke wangu nilipoamua kumnunulia gari yake ya kutembelea sasa toka nimemnunulia iyo gari aina ya toyota RAV4, amelisusa na halitaki kabisa yeye anataka SUBARU FORESTAR TURBO STI ambayo iyo juu pichani mimi nimemkatalia hii gari kwanza inakimbia sana pia linakula mafuta sana hebu nisaidieni maana hata unyumba sipati nina wiki sasa!!
wahaya bhana mmezidi mbwembwe.