naweza kuwa referrals usijali.
kwanza asant sana mkuu kwa ushauri nilikuwa nimejiunga na moja inaitwa inboxdollar iko pooa sema nimechoka haraka maana pesa ni ndogo sana.
kingine naomba kukuuliiza bwana chinge kuhusu kununu refferrals ina kuwa je maana nimeona hicho kipande na sijakielewa naomba tu unielimishe kwa hili.
Kwanza hapa niseme jambo moja, kama unataka kuingia kwenye PPC, fahamu kwamba PPC zinalipa visenti... ukiona PPC yoyote wana-promise anything from $0.25 just for ads click; basi hao ni scammers! Legit PPC nyingi kama sio zote, maximum pay per click ni $0.1 tena kwa baadhi ya ads na sio zote manake ads zingine zinakuwa kwa ajili ya eneo fulani tu!!!
That's one but two, PPC nyingi zinakuja na kuondoka... kwahiyo unaweza ku-invest energy ya kutosha na baada ya muda; jamaa wakawa inactive... ni kawaida sana hii tena sana! Kutokana na hilo, ndio maana nikakushauri kama unataka PPC, go to Neobux or Clixsense! Hawa NeoBux wapo in business for nearly 10 years now...!
Neobux or Clixsense?
Kwanza kabisa, wote hawa unalipwa kutokana na clicks unazofanya. Let's take it this way: Assume kwa siku unapata 30 displayed ads na kila ads ina thamani ya $0.001. This means, kwa siku utatengeneza ONLY $0.03/Day = $0.9!!
Kwahiyo hapo utaona kwa mwezi unaweza kupata $1.00... ni biashara ya kiuendawazimu!!!
But what kama unapata watu 100 wa kukusaidia kwa account nyingine lakini unawalipa nusu ya kile upatacho? This means, hao watu 100 wangekupa net $50 na hivyo kwa mwezi utatengeneza $51 ($1 ni ile unayotengeneza mwenyewe)!
What if unapata watu 1000 wa kukusaidia ambao nao unawaachia nusu ya mapato? This means, hawa kwa mwezi watakutengenezea $500 kwahiyo total kwa mwezi utapata $501 (including ile unayotengeneza mwenyewe)! Kama namba hazidanganyi, kama utakuwa na wasaidizi 5000 basi kwa mwezi utapata $2501... anyway, let's $1000! Nadhani si haba!
Theoretically ni rahisi sana lakini practically si kazi ndogo....!
Sasa basi, hao WASAIDIZI ndio REFERRALS wenyewe ambao nilizungumzia hapo kabla!
Kimsingi kuna aina
mbili ya Referrals...
Rented Referrals na Direct Referrals.
Rented Referrals unawalipia... $20/100 Refferals na unakuwa nao kwa mwezi mmoja! Ina maana ukitaka refferals 1000 kwa mwezi, unatakiwa kulipia $200.
Direct Referrals ni wale ambao unawa-recruit wewe mwenyewe... assume kama ningeweka link hapa na wewe uka-join; ina maana ungekuwa My Direct Referral! Wapo wengine wanawalipa watalaamu kwa ajili ya kuwafanyia recruitment ya Direct Referrals.
Major difference kati ya Rented Referrals & Direct Referrals ni muda ambao unakuwa nao/wanakufanyia kazi! Hao Rented Referrals unakaa nao mwezi mmoja tu ingawaje unaweza ku-renew (100% recommended). Kwa upande mwingine, Direct Referrals wanakuwa wako permanently na hulipi chochote wakishakuwa kwenye profile yako! Hivyo basi, kadri watakavyoendelea kuwa active ndivyo watakavyoendelea kukutengenezea some dollars! Sasa kama utakuwa smart enough na kuweza kupata 5000 Direct Refferals ambao mara kwa mara wanakuwa active; then there's no way unaweza kushindwa kuingiza $1000/month.
Tunarudi swali la juu: Clixsense or Neobux?
Unless utaratibu uwe umebadilika sasa, Nexbux wana aina zote mbili za referrals... yaani Direct na Rented Referrals wakati Clixsense wao wana aina moja tu... Direct Referrals.
Hii kitu ili uone faida yake ni lazima uwe una referrals wa aina zote mbili... Direct na Rented kwa sababu kipato chako kinaongezeka kadri unavyokuwa na referrals wengi zaidi (kuna some other factors). Sasa kwavile kupata Direct Referalls nako si kazi ndogo basi Referral Portfolio inaakuwa stable/kubwa zaidi ikiwa unaweza ku-include wa ku-rent na wa ku-recruit mwenyewe!
Kutokana na maelezo hayo hapo juu, kwangu nipo more preferred kwa Neobux kuliko Clixsense ingawaje unaweza kupiga huku na huku!
NOTE: Hii biashara unatakiwa kuwa smart kweli kweli na ukiweza management yake, trust me inakutoa na utaweza ku-manage biashara yoyote ile kwa sababu hata hao referrals, hususani wa ku-rent, si kwamba uki-rent tu unaanza kunyoosha miguu, hell no... lazima uwe unachunguza clicking behavior zao in daily basis! WHY? Assume ume-rent 100 Referrals for $20! Hawa kadri wanavyo-click; wao wanapata chao bila kupunjwa hata sent 1 lakini na wewe unapata some portion ya kazi wanayofanya! Wasipo-click; you get nothing wakati umeshalipia! Sasa ikiwa kati ya hao 100; 50 hawa-click hata tangazo moja kwa mwezi mzima; ina maana itakuwa umelipa $15 FOR NOTHING! Na hii ni very common; tena sana! WHY? Hapo juu tumeona ukifanya kazi peke yako unaweza kupata maybe $1 kwa mwezi... inakatisha tamaa kwa 100%. Now assume kwenye hao 100 uliolipia, majority ni kutoka katika hao ambao wanakata tamaa mapema... wengine wakisikia Online Jobs wanadhani ni Get Rich Quickly Jobs!
Sasa kwavile watu wengi wanaingia kwenye PPC na kuondoka, basi unaweza kujikuta umelipia referrals wa aina hiyo na majority ya hawa wanakuwa Standard Member ambao membership ni FREE! Kama ukipata Paid Members wengi zaidi, they'll never disappoint kwavile wao wameshalipa pesa zao (sio za ku-rent referrals) for either Gold, Diamond, Platinum etc membership kwahiyo ukiona imepita siku bila clicking basi wana sababu iliyo nje ya uwezo wao!!!!
Hii kitu kwa wanafunzi inawafaa sana tena sana! Kama mtu ameanza First Year... mdogo mdogo (si kazi ya kutengeneza pesa baada ya muda mfupi hii) hadi anamaliza mwaka wa 3 anaweza kuwa na Direct Referrals hata +5000. Na kwavile yupo chuo, inakuwa rahisi sana kwake ku-influence fellaz ku-join! Endapo anamaliza chuo huku akiwa na +5000 Referrals, si tu kwamba atakuwa ameshaanza kuzitengeneza dollars tangu akiwa chuoni lakini hata akimaliza anaweza asihangaike kutafuta kazi kwa pressure! Very possible but you need to be smart... it's more than ku-click matangazo but purely ni product portfolio management! Product yako hapa ni hao Referrals!
NB: I am on trip kwahiyo naishia hapa na hivyo usishangae nitakapokuwa nachelewa ku-respond! However, unaweza kuuliza chochote na wakati au siku yoyote nikiwa online, nita-respond!