Ushauri kuhusu Mapenzi..

Ilikuwa iwe leo kukutana bt kapata dharura ya kumuuguza mgonjwa !!
Kukutana ni kwa ana kwa ana
Anadai anaweza kuja kwangu !!
Hamuwezi enda sehemu nyingine out of kwako.?? Mara ngapi umemwambia mkutane kwako kakubali na kukataa?
 
Yaani kweli tupu! Wanasema kinyozi hajinyoi
 
Maumivu huwa yanachelewa kuisha au kusahaulika kutokana na self awareness ya mtu husika. Kukubaliana na situation iliyotokea,na Hata kutoielewa situation husika. That's why watu hubaki na maumivu mioyoni mwao.
Ni kweli mkuu
 
Ni kweli mkuu
Na mtu akiwa na maumivu,sio lazima aangalie movie,asikilize music,ajichanganye na watu hapana. Watu na tabia zetu tofauti tofauti. Huwa tunatofautiana. So ushauri atapewa huyu ni tofauti na atapewa mwingine
 
Naomba niku pm
 
Ndugu umenifedhesha saana. Umenisikitisha saana na kuninyon'goshesha moyo...bwana alisema enendeeni mkaijaze dunia hakuishia hapo akatupasa ombeni nanyi mtapewa zaidi ya hapo akasema majaribu ni mtaji.

Na nimechukua hili jaribu lako.
Tehhhhhhh tehhhhhhh

Aiseeeee hii nguvu uliyotumia hapa si unekuwa ushajenga kiwanda
 
Mie cjaelewa kabisa atakae elewa ni tag plz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…