Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,500
achana nao hao ndo zao kwani mada yako inahusiana nini na jinsia?Ukiheshimu watu wengine haupungukiwi kitu,instead unajijengea na kujiongezea kitu. Kwenu hakuna wakubwa wa kukufundisha heshima kwa wengine? Siombi uniheshimu, laki ni nakushauri jiheshimu kwanza kabla hujaheshimu wengine,unaonekana hujiheshimu wala hujielewa.
Aya mama. Baki tu usijekutekwa bure baada ya kukosea njia alafu nikapakaziwa mimi.Siijui njia
Kweli kabisa usemayo hakuna kitu kinachoweza kuwa mbadala wa maumivuMara nyingi mtu akiwa na stress mfn za mapenzi- utaskia mtu anakshauri ji-keep busy na kazi,soma vitabu,jichanganye na marafiki,sikiliza muziki, toka out,to me siwezi kufanya hata kimoja mfano niseme nisome vitabu, au nisikilize muziki lazma wazo litakuja nafanya hichi kitu sahiv kwaajr ya nini-jibu litakuwa C kwaajr ya ile stress, hapox2 nagail kufanya nabak kimya nagugumia maumivu.
Aya mama. Baki tu usijekutekwa bure baada ya kukosea njia alafu nikapakaziwa mimi.
Wallah!. Nimeshakutumia sms nyingi kibao lakini hujibu hata moja. Nikajua hazifiki, kumbe zinafika lakini unapotezea. Haya mamaila compact!!! Kwani PM kwangu hukujui? Yaani mimi ndo nikufuate?
Asante Sana Miss Natafutaachana nao hao ndo zao kwani mada yako inahusiana nini na jinsia?
Umeongea nusu ya ukweli. Lakini mapenzi yana ushauri and it heals mkuu.Jaman mapenzi hayanaga ushauri ata coz wakat mnavuliana nguo hamkuomba ushauri,i mean nyie wawli ndo zaidi kulko ata mtoa ushauri..ni kujiongeza tu mwenyewe apa nimeshndwa basi usilazimishe vitu na ujiamini unachokifanya hutokaa ulie mapenzi hovyo..maan ata nikikushauri achana nae wakati wee bado unapenda kesho mm ntaonekana mbaya.
Ila huchukua muda,mi binafsi huwa napata sana shida kusahau maumivuKipo,yapo Mkuu.
Mkuu. Ulishafanya Huo mpango usikie anataka kusema nini? Na ukimuuliza kuhusu Huo mpango wa kusema yake utakuwa lini kakujibu vipi? Na je,ushamuuliza atakuambia wapi? Au mtatumia means ya kukuambia Huo mpango wake?(face to face au thru the phone?)Duuuu hii mada inanigusa haswaa
Mimi mwenyew ni mshauri mzuri tu .Lakini cha kushangaza nina kama iki mbili hivi naugulia maumivu
Mtu niyempenda kwa dhati alianza kunipiga kalenda kila nikimwambia tuonane tupate maongezi nikahis labda ni ubize alionao
Cha kutisha siku nne hivi nyuma nikawa nikipiga simu hapokei,kwenye social network yuko online esp Facebook lakn nikituma msg bado anazisoma tu na hata hajib duuuu kiukwel niliumia saana nikajiona worthless hapa dunian
Juzi natuma msg tena fb akatuma kapicha anakimbia sikujua maana yake !!
Na mimi nikaanza tuma msg kuwa apokee simu yangu mm nimwage tu lkn haikufanikiwa....nilifanya yote nikabaki hata kazi sifanyi tena nipo tu...
Hatimae jana nikaonana uso kwa uso nikaomba kuzungumza nae akanambia yuko bize na kuniomba tuongee kwa simu
Kweli nikajarb mpigia akapokea na kunambia kuwa tufanye mpango anambie kilichomfanya awe hivyo..
MASWALI KWANGU
¹ nikweli bado kuna upendo hapo?
² nini anataka kunambia ?licha ya kuwa alisema ana mambo yake binafsi!
³ mimi nitamwambia nini sasa hapo??
Naomba nami ushauri wadau
NA CONFESS
Mimi huwa najikuta napenda miguu yote moyo wote na linaponikuta kweli huwa naumia saana!! Hadi sas maumivu niliyonayo hayaambiliki !
Maumivu huwa yanachelewa kuisha au kusahaulika kutokana na self awareness ya mtu husika. Kukubaliana na situation iliyotokea,na Hata kutoielewa situation husika. That's why watu hubaki na maumivu mioyoni mwao.Ila huchukua muda,mi binafsi huwa napata sana shida kusahau maumivu
Ilikuwa iwe leo kukutana bt kapata dharura ya kumuuguza mgonjwa !!Mkuu. Ulishafanya Huo mpango usikie anataka kusema nini? Na ukimuuliza kuhusu Huo mpango wa kusema yake utakuwa lini kakujibu vipi? Na je,ushamuuliza atakuambia wapi? Au mtatumia means ya kukuambia Huo mpango wake?(face to face au thru the phone?)