Ushauri kuhusu mabati ya Alaf

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Messages
3,414
Points
2,000

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2011
3,414 2,000
Naombeni kujua lipi chagua sahihi kwa mabati ya Alaf gage 30 kati ya migongo mipana na migongo midogo ipi nzuri kuezekea Nyumba ya kawaida?
 

Mkweli77

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Messages
1,293
Points
2,000

Mkweli77

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2013
1,293 2,000
Gage 28 ndio safi Mkuu, Mimi nilichukua Gage 30 wiki mbili zilizopita Pale kiwandani kwao kutokana Na pesa Yangu..!! Migongo mipana inapendeza zaidiii..!!
 

Forum statistics

Threads 1,364,833
Members 521,026
Posts 33,329,978
Top