Ushauri kuhusu Kusoma Masters

Bobumikwara

Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
43
Reaction score
14
Habarini ndugu, naombeni ushauri wenu.

Niliapply Chuo nje ya nchi yaani S.Afrika,ilikua ni mwezi wa pili (Master of education in philosophy),niliapply kwa njia ya online,Mungu alisaidia mambo yalienda vizuri,tatizo likawa Passport ilitakiwa kwenye attachment ya document zangu,nilipambana Mungu akasaidia nikaipata then nikaituma,ila nikawa nimechelewa kwa Semester ya kwanza ambayo huanza March,nikaambiwa nijaze form alafu nitick Semester two,nikafanya kama nilivyoelekezwa.

Mambo yakaenda fresh kabisa sababu niliapply na Scholarship nikaattach na supportive document.Mwezi wa 5 nilipigiwa cm kwamba nipo tayari kwenda kwenye enrolment?,nikawaambia ndiyo, ambayo ilitakiwa mwishoni mwa mwezi wa 6 niwepo kule,nikawaambia bado nasubiri scholarship feedback,wakaniambia niwacliane na office husika,nikafanya kama nilivyoelekezwa,wakaniambia scholarship feedback ni tar 7July ingawa wametoa tar 14 juzi yaani,nilipowacliana nao wakaniambia niwatumie admission number wacheki,nikakumbuka sikuifuatiliaga sababu nilijua itakuja na admission letter ili nipate VISA,tatizo yule staff member wao ambae nilimtumia certified copy zangu email yake nikimtrace inafail kudeliver email zangu,Semester two inaanza tar 25-28 July,Scholarship feedback sijaijua sababu admission no cfahamu,pia cwezi pata Visa bila admission letter nifanyaje wenye uelewa wa haya mambo.

Chuo chenyewe ni Monash South Afrika,ninamawazo sana sababu nilipenda sana mwaka huu nikaunganishe Master.Russia pia nimefukuzia wao mpaka mwezi wa tisa au wakumi ndo muhula unaanza.Ushauri wenu wakuu ntaheshimu mawazo yenu.Mungu awabariki.
 
Alafu ndugu wako attension kunipa support sababu nilistruggle Mungu nae hakuniacha,sasa nimewaweka pending.yaani hapa namawazo cku ya 3, na form ya Visa ninayo bado hiyo admission na cheti cha chanjo(yellow fever disease vaccination),nawasubiri wadau wangu kwa mchango wenu wa mawazo.
 

Hivi south Africa kuna kuomba visa?
 
Mkuu nashukuru ila,ila c nimeandika hapo (Master of education in philosophy)au haujaelewa nn,fungua hicho chuo Monash South Afrika alafu uone kama naongopa.
 
Kwa sheria zao hawakupokei kama wewe ni international student alafu hauna Visa.
 
Serious mkuu, fungua kwenye google Monash South Africa,main campus ni Australia.Utasadiki.
 
Mkuu bategereza kuhusu average nilishaona cutpoint dat y nikaaply,nawalinipigia cm c chini ya mara 4,kutaka nikonfirm kwenda kwenye enrolment,mwishoni huku ndo kidogo inatokea hii confusion,mwanzoni nilipenda sn Russia ila nikahofia kujifunza lugha yao,ila Mungu akisaidia mambo yakiwa fresh kwa upande wa Russia pia ntaenda,uzuri wa S.Afrika ni kiingereza 2 years ushamaliza.
 
Kwa sheria zao hawakupokei kama wewe ni international student alafu hauna Visa.
Acha uongo wewe. South Africa hakuna barua ya visa wala application ya visa, unagongewa airport moja kwa moja sio kama US au UK.
Alafu sio 'Master' ni masters.
 
Mkuu nashukuru kwa kunisahihisha.kuhusu Visa nilishasema kile chuo wamiliki ni Australia wamefungua tawi lao pale,kwa hiyo mfumo wao kama unatoka nje ya S.Afrika alafu huna Visa hawakupokei,wametoa angalizo kabisa.
 
Acha uongo wewe. South Africa hakuna barua ya visa wala application ya visa, unagongewa airport moja kwa moja sio kama US au UK.
Alafu sio 'Master' ni masters.

S. Africa hakuna visa kama utakaa siku tisini au pungufu. kkwa mwanafunzi wa zaidi ya miezi minne lazima.
 
Monash ya SA kumbe? Uko
Na scholarship ya commonwealth? Jitahidi tu kijana we jaribu hata kupiga simu huko Australia, sisi waafrica tuna shida🙈
 
S. Africa hakuna visa kama utakaa siku tisini au pungufu. kkwa mwanafunzi wa zaidi ya miezi minne lazima.

Mkuu habari yako? Uko sawa kbs, hata Botswana kuna visa ikiwa unapitisha mda wa kawaida wa kukaa bila visa
 
Acha uongo wewe. South Africa hakuna barua ya visa wala application ya visa, unagongewa airport moja kwa moja sio kama US au UK.
Alafu sio 'Master' ni masters.
anaenda kusoma konfuu awe kama master cheni,
 
S. Africa hakuna visa kama utakaa siku tisini au pungufu. kkwa mwanafunzi wa zaidi ya miezi minne lazima.

That's right lakini mbona ukiingia unagongewa visa ya miezi 6 hata kama utakaa wiki mbili? huenda utaratibu ukawa umebadilika kutoka siku90 hadi miezi sita.
 
Mkuu ndiyo,nazidi kumwomba Mungu.kama ctafanikiwa kuna Russia napo niliapply ingawa wenyewe mpaka mwezi wa 9.God first.
 
Afrika kusini mtu anayekwenda kukaa zaidi ya siku 90 anahitaji visa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…