Mwambie aendelee kucheka na nyani asubiri mavuno ya UKIMWI!Mke huwa haachwi siku hizi, aanze yeye kukuacha siyo wewe umwache yeye, yeye anyanyue mabegi yake aondoke tena hata taraka siandiki! Cha muhimu afanye ujasusi (kazi rahisi sana) mpaka amjue huyo mwizi wake, afuatilie wana mahusiano tayari au ndiyo wanapigana voko. Akishajihakikishia amwite mkewe, hakuna haja ya mshenga, ni mazungumzo ya wawili tu, amuulize "Mke wangu hebu niambie wazi, unataka kuwa na mimi au nikuruhusu uendelee na fulani (mtaje jina)?", akijibu anataka kubaki mwambie
"Nakupa angalizo la mwisho, ACHA UNACHOKIFANYA, MWANZIE NA MWENZIO NIMEWASAMEHE MUACHE", kisha mtafute huyo mwanaume anonimously mwambie "Unachokifanya na fulani (taja jina la mkeo), KIACHE". Baada ya hapo kaa kwenye computer yako uendelee kupata update za mawasiliano ya mkeo na mbaya wako, kama ana akili atamwambia waache.
kama HANA akili watadanganyana wawe waangalifu, akishajua wamepanga kuwa waangalifu na yeye azidishe uangalizi, akiwang'amua tu aandae vijana wa kazi na camera za kutosha, yeye wala hana haja ya kwenda eneo la tukio...anawaelekeza tu vijana kazi ya kufanya anawapa na kianzio, kesho asubuhi wanamletea mrejesho anawamalizia salio lao....swaafi! Wala usimuulize kitu mkeo, kuwa mpole kabsaa, usiwe wa kwanza kuomba game, akikuomba game mwambie naenda dukani mara moja, unaenda unarudi na condom.