Ushauri: Kuhusu kunusuru ndoa ya rafiki yangu

Ushauri: Kuhusu kunusuru ndoa ya rafiki yangu

CHIMPONGO

Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
43
Reaction score
3
Wadau habari,

Mimi ni mgeni kidogo katika hili jukwaa.Kuna rafiki yangu ameoa na kujaliwa kupata watoto wanne,wameishi kwa amani kwa takribani miaka 8.

Sasa miezi kama mitatu iliyopita kuna tabia mke wake kaanzisha ya kuongea na mwanaume mwingine katika simu.Alipokutwa mara ya kwanza alijitetea kwamba ni mtu tu amepiga kwa bahati mbaya yaani kakosea no.

Hivyo akamweleza kuwa yeye kaolewa,cha kushangaza amekwisha kutwa na rafiki yangu zaidi ya mara mbili akiendelea kuwasiliana nae huyo mwanaume.

Mara ya mwisho rafiki yangu alimshirikisha mshenga na mkewe alikili amefanya kosa hivyo kuomba msamaha ila alisisitiza hawana mahusiano ya kimapenzi na huyo bwana.

Siku mbili baadae baada ya kunyang'wa simu amekutwa ameazima simu jirani na anawasiliana na huyo bwana tena.Sasa rafiki yangu ameomba nimpe ushauri kwani yeye anataka amwache huyu mwanamke.

Wadau naomba ushauri ili tunusuru ndoa hii
.
 
Haa...amwache kisa mawasoliano tu? Wanandoa wanakuja ngojea....
 
Anavyotaka kumuacha watoto atabaki nao yeye? Halafu hilo ni tatizo au kijitatizo? Afikirie faida na hasara za kuachana asikurupuke kufanya maamuzi
 
Upumbavu Huo.Umuache Mkeo Uliezaa Nae Watoto Wa4 Kwasababu Ya Simu Tu.Ya Kazi Gani Kujitia Presha Na Mwanamke Uliekwisha Mzalisha Watoto Wa4?.Amuache Na Wala Hata Simu Yake Hasiguse Hata Kama Akiiona Mezani Inaita.

Na Sio Simu Tu Hata Kama Angejua Anagegedwa Na Jamaa Wala Hasijisumbue Kumfatilia.Ili Mradi Uchafu Wake Haufanyii Ndani Kwake.Hakuna Haja Ya Kuangaika Nae.Amwache Akimaliza Mambo Yake Atarudi Nyumban Kulea Watoto.
 
Yaani watu wanaona kuacha ndo style ya muji..i hate this agjdbhhddjjdhhh!!!! yeye si kidume? apambane na mwanaume mwenzie ili kunusuru ndoa yake laa aseme kamchoka anamtaftia sababu maana nyie wanaume mna mambo pia..watt 4 aanze kuwa disturb sahv si aibu jamani?

Afanye utafiti wa kutosha then ajue yule dada anafanya kwa sbb gani inawezekana amevumliia vituko vyakeee kaona sasa too much...km anampenda mkewe amuonye na ahakikishe hakubali kunyang'anywa tonge mdomoni ...yy ndo atapata fedheha atiii..
 
Naona wengi mnamtetea sana mwanamke lakn mnasahau kuwa hapo kina tatizo linachipua..... Kama aliweza kufikia hatua ya kuazma simu mpaka ampigie huyo mwanaume wake hapo kunann?.......... Mtu amekalishiwa na vikao vya washenga lakn bado hasikii hapo bado hamuoni tatzo?

Kumwacha mwanamke mwanamke kwa uzinzi hilo sion kama ni kosa.. .... Ni bora nibaki na wanangu niwalee pekeyangu kuliko kuling'ang'ania janamke lisilojtambua baadae liniletee maradhi bure na tuwaache watoto yatima
 
Yaani watu wanaona kuacha ndo style ya muji..i hate this agjdbhhddjjdhhh!!!! yeye si kidume? apambane na mwanaume mwenzie ili kunusuru ndoa yake laa aseme kamchoka anamtaftia sababu maana nyie wanaume mna mambo pia..watt 4 aanze kuwa disturb sahv si aibu jamani? afanye utafiti wa kutosha then ajue yule dada anafanya kwa sbb gani inawezekana amevumliia vituko vyakeee kaona sasa too much...km anampenda mkewe amuonye na ahakikishe hakubali kunyang'anywa tonge mdomoni ...yy ndo atapata fedheha atiii..

mwanamke usipojitambua utaachwa tu!!..... Kama umefikia hatua ya kuzaa watoto wanne bado unataka uendelee kugawa wuchi nani atakuthamin, nan atakuheshimu kama mke? Hapo lazma nikunyanyase balaa.
 
Mwambie rafiki yako, kwanza kwa picha hiyo japo cna 100% ila kwa asilimia 98% huyo mama ameshapenda kwingine kama sio tayali wameshaanza mahusiano kabisa. Hivyo cha kwanza mwambie hivi, akae akijua kumuacha sio suruhisho na hata akioa mwingine anaweza kukutana na hayo hayo na tena kuwapa wakati mgumu watoto wasio na hatia. Akilitambua hili vizuri hawezi fikilia kumuacha.

Anamuacha halafu akamuoe nani? kama anamuacha na haoi tena sawa? lakini sio kumuacha kesho anao majanga mengine. Hivi vitu bana kwanza amuombe Mungu aibadilishe hiyo tabia iliyomuingia mkewe, halafu akae na mkewe chini amueleze amkumbushe walipotoka, na walipo pia, huyo mama amejisahau tu, na hakika atabadilika. Ila suala la kumuacha jamani asifanye hivyo maana hana uhakika kwamba huyo atakaye mchukua atakuwa mwema. lo!

Ndio ni uvumilivu japo mambo sometime yanabana sana.
 
Atafute siku wote wako kwenye mud nzuri wakae chini waongee..kidume ingia jikoni siku hiyo andaa msosi wa hatari zen weka kwa meza,tafuta wine yako iliyochacha vizuri kabisa weka pale,achana na habari ya luku.

Tafuta mishumaa yako kadhaa iwashe zen kwa mbali kamuziki cha r&b kanakita kwenye speaker..mkaribishe mezani,mkishakula ndo anza kumuhoji kwa upole kabisa kama mlokole anavyo mtongoza binti.

Swali la msingi ni kujua why anacheat? akijua sababu ndo anaweza kujua jinsi ya kutatua tatizo...asikubari kuombwa msamaha kirahisirahisi tu...wengine uwa wanaomba msamaha fasta ili kufupisha majadiliano
 
Na Sio Simu Tu Hata Kama Angejua Anagegedwa Na Jamaa Wala Hasijisumbue Kumfatilia.Ili Mradi Uchafu Wake Haufanyii Ndani Kwake.Hakuna Haja Ya Kuangaika Nae.Amwache Akimaliza Mambo Yake Atarudi Nyumban Kulea Watoto.[/QUOTE said:
Siyo rahisi hivyo, mwanamke kaonyesha dharau. Kwa wanaume hakuna "akimaliza atarudi" na ukumbuke fahari wawili hawakai zizi moja au ala moja....
 
Hiyo ndo tayari ishaingia doa. Huyo mama kashanata na beat sehemu flani. Kumng'oa ni kazi sana, inahitaji jitihada za pekee. Otherwise let her learn the fate
 
Apige chini haraka...watoto atalea mwenyewe..huyu mwanamke kishaota mapembe hatawezana naye...amezuiwa kanyang'anywa hadi simu lkn bado...angekuwa wa kubadirika angebadirika.rudisha kwao kwa taratibu sahihi
 
Naona wengi mnamtetea sana mwanamke lakn mnasahau kuwa hapo kina tatizo linachipua..... Kama aliweza kufikia hatua ya kuazma simu mpaka ampigie huyo mwanaume wake hapo kunann?.......... Mtu amekalishiwa na vikao vya washenga lakn bado hasikii hapo bado hamuoni tatzo?

Kumwacha mwanamke mwanamke kwa uzinzi hilo sion kama ni kosa.. .... Ni bora nibaki na wanangu niwalee pekeyangu kuliko kuling'ang'ania janamke lisilojtambua baadae liniletee maradhi bure na tuwaache watoto yatima

Mawazo yako ni sawa na ya kwangu. Wakondyamo go!!!!
 
Ukitaka kujua thamani ya papuchi ndiyo hapa sasa... Yani hapo jamaa huwezi mshaueri kuona anamegewa papuchi yake live .. Lazima ilete shida kubwa tu,.. Sasa muhimu ni jamaa kuchua hatua za kinidhamu juu ya mkewe na kumkumbusha kuwa ile mali ni yake.. Na pia jamaaa aangalie asikute ampe dudu vizuri mkewe .. Akisha jifanyia utathimin yeye sasa afanye awezalo kutuliza haya mambo ...

Bwana binadamu tunahulka ya kuchoka.. Kama kachokwa waishi tu kama kaka na dada,.. tatizo lenu mnahisi wanawake wakisha zaaa nyege zinaisha weeee nani kasema ile kitu Mungu kaweka kama kiburudisho pia.. wewe unarudi home unachovya chovya tu kama unakula ugali na supu utegemeee akikutana na mlaji anafanyaje ? kile kitu kiliwe kitulie tule ....

JAMAA NDIYO MBOVU MUULIZE ANAMPA DUDU VIZURI MKEWE?
 
hiyo ndo tayari ishaingia doa. Huyo mama kashanata na beat sehemu flani. Kumng'oa ni kazi sana, inahitaji jitihada za pekee. Otherwise let her learn the fate

jamaa amli mke wake akaisha ndiyo shida
 
Miaka 8 watoto wanne du huyo mama hajawahi pumzika kachoka anataka kupata upepo mwingine
 
miaka 8 watoto wanne du huyo mama hajawahi pumzika kachoka anataka kupata upepo mwingine
kila akipandwa mimba loh ... Kalea tu na stress za malezi si mchezo ukute nalo dume jinga.. Anashika shika papuchi kisa mama ananukia maziwa loh nani kasema huko nje naitwa nakonyezwa loh!!!!!!!!! Kwa nini nisiitoe ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom