Ushauri kuhusu kuku wa mayai (Layers)

Ushauri kuhusu kuku wa mayai (Layers)

Joined
Aug 10, 2011
Posts
72
Reaction score
14
Wapendwa naombeni kujuzwa kuhusu wapi nitapata mbegu nzuri ya kuku wa mayai maana nilishauriwa niagizie Uganda lakini inasemekana kwamba Serikali imezuia uingizaji wa vifaranga kutoka nje.
Shukrani
 
Back
Top Bottom