God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D
Division 3 ya 23
Alafu sikupangiwa popote hebu nishauri nifanye nn malengo yangu ni kuwa daktari
CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D
Division 3 ya 23
Alafu sikupangiwa popote hebu nishauri nifanye nn malengo yangu ni kuwa daktari
kwani unapenda kuwa nani wewe? na malengo yako yakoje?Nina divisheni 1 pointi 9,mchepuo HGE nina C zote, kozi gani inanifaa?
Napenda kufanya marketing kaka!kwani unapenda kuwa nani wewe? na malengo yako yakoje?
hayo ni matokeo ya form four tena bora umekutana na mimi nikushauri, kwa ukweli wewe una uwezo wa kawaida. sikushauri uende form six kule ni kupoteza mda tuu ila kama una amin utapata division one basi nenda na iwe ya PCB hapo utaweza kujikinga kifua na kuomba kozi ya udaktari vyuo vya serikali kama muhasi, udsm na udom. ila kwa vyuo vya private pcb za division 2 hadi 3 unaenda iwe unataka udaktari, ufamasia au maabara. ila kwenu muwe mna pesa ada ni zaidi ya million 6. kwa vyuo vya imtu, hku, kairuki huko. kampala. ila vyuo kama archibishop james songea ada ni million 3 na ushee ivi, st francis morogoro ada ni million 3 kasoro. na jua kadri miaka ivavyozidi kwenda ada nayo inapata.CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D
Division 3 ya 23
Alafu sikupangiwa popote hebu nishauri nifanye nn malengo yangu ni kuwa daktari
pitia guide book ya tcu 2016/2017 kuna kozi kibao za biashara kuhusu marketing yako. unachopaswa kuangalia ni ushindani maana point zako ni za kawaida. ukiona watu wengi wameomba sana hiyo kozi we badilisha omba chuo kingine. saut, udom na imani utapataNapenda kufanya marketing kaka!
Asante. Nisaidie kaka nitawezaje kujua kama wengi wameomba sana kozi hiyo? Udsm siwezi kupata bro?pitia guide book ya tcu 2016/2017 kuna kozi kibao za biashara kuhusu marketing yako. unachopaswa kuangalia ni ushindani maana point zako ni za kawaida. ukiona watu wengi wameomba sana hiyo kozi we badilisha omba chuo kingine. saut, udom na imani utapata
yap nakukubali sababu uko vizuri na umeyaelewa maelezo yangu. pia nikupongeze kwa GPA kali hapo omba UDOM MD ya kwanza, halafu sababu kuna intake maalumu imetengewa kwa ajili ya diploma omba UDSM, MUHAS, KCMC, CUHAS/BUGANDO au ST FRANCIS morogoroMkuu Ushauri Wako Ni Muhimu Sana Kwangu Na Ninakuomba uzingatie Nyanja Zifuatazo wakati wa Kunishauri:-
1) Ushindani Wa Kupata Chuo kwa Kozi Husika ili Nijue Ni Vyuo gani Naweza Kupata, Na Vyuo Gani siwezi Kupata
2) Ada Za Kozi Husika
3) Ubora wa Kozi
Mimi Ni Diploma Holder Wa "Pharmaceutical Technician" na nina GPA ya 3.7
Sasa iwapo Nitapata Chuo & Mkopo, Ninataka Kusoma "PHARMACY" au "MD" sasa kwa Kuzingatia Vipengele Vitatu Nilivyo Vitaja Hapo Juu Naomba Ushauri wako nisome ipi Kati ya Hizi mbili??
wewe guide book umeiona wap???pitia guide book ya tcu 2016/2017 kuna kozi kibao za biashara kuhusu marketing yako. unachopaswa kuangalia ni ushindani maana point zako ni za kawaida. ukiona watu wengi wameomba sana hiyo kozi we badilisha omba chuo kingine. saut, udom na imani utapata
mkuu wewe hayo matokeo yako si ya form four wewe utasoma diploma, utaaply kupitia nacte ila sijajua proces zao kama walishafunga au wanaendelea kuomba,Asante. Nisaidie kaka nitawezaje kujua kama wengi wameomba sana kozi hiyo? Udsm siwezi kupata bro?
pitia guide book ya tcu 2016/2017 kuna kozi kibao za biashara kuhusu marketing yako. unachopaswa kuangalia ni ushindani maana point zako ni za kawaida. ukiona watu wengi wameomba sana hiyo kozi we badilisha omba chuo kingine. saut, udom na imani utapata
subiria itoke kama haijatoka iko mbioni kuja ila ni vyema mjiandae mapemawewe guide book umeiona wap???
mkuu samahani kuna sehemu nimekosea nika sema ufaulu wako hafifu nilichanganya. hongera upefanya vizuri omba chuo chochote unapata im sure, marketing hukosiAsante. Nisaidie kaka nitawezaje kujua kama wengi wameomba sana kozi hiyo? Udsm siwezi kupata bro?
Asante kaka kwa uvumilivu katika kunishauri, Mungu akubariki sana. Matokeo yangu ni ya kidato cha sita ambayo ni div 1 ya pointi 9 HGE nina C zote, nilikwambia ninapenda kufanya marketing, ila nilikuwa natafuta ushauri kwenu wakubwa zangu kama ninaweza kufanya kozi nyingine yenye mwelekeo mzuri huko mbeleni. Na mwisho nilikuuliza kama ninaweza kujiunga na udsm kwa matokeo hayo.mkuu wewe hayo matokeo yako si ya form four wewe utasoma diploma, utaaply kupitia nacte ila sijajua proces zao kama walishafunga au wanaendelea kuomba,
utaona ushindani sababu unaona idadi ya watu waliiomba. unatengenezewa profile kabisa wala usiwe na hofu uki apply utaona system inavyokua
unaweza mkuu samahani sana nilikosea kukujibu, umefanya vizuri, kozi zipo nzuri sababu marketi ndo kila kitu kinachohitajika ni competence yako, yani skills zako na kusaka madili ndo zitawashawishi waajiri wakupe kibarua, usiangalie tuu GPA kubwa bali angalia na ushawishi wako kwenye nyanja husika. kuna kozi kama agrobusiness hii kwa maono yanu ina futute nzuri ipo sua na ukiomba unapata hata udsm ipoAsante kaka kwa uvumilivu katika kunishauri, Mungu akubariki sana. Matokeo yangu ni ya kidato cha sita ambayo ni div 1 ya pointi 9 HGE nina C zote, nilikwambia ninapenda kufanya marketing, ila nilikuwa natafuta ushauri kwenu wakubwa zangu kama ninaweza kufanya kozi nyingine yenye mwelekeo mzuri huko mbeleni. Na mwisho nilikuuliza kama ninaweza kujiunga na udsm kwa matokeo hayo.