USHAURI KUHUSU KOZI YA REAL ESTATE

USHAURI KUHUSU KOZI YA REAL ESTATE

coz inaitwa real estate and finance (REF) ni kozi nzuri we kasome ina mashiko
 
Wakuu mwenye kujua au kufahamu zaidi kuhusu kozi ya Real Estate inayotolewa pale ardhi ,kwa jinsi market yake ilivyo pamoja na field yake hapa Tanzania

Nawasilisha .

Ina maana wakati ulipokuwa una-apply hizo kozi ulikuwa unachagua chagua tu bila kufanya kwanza tathmini juu ya kozi husika???
Hakika, kuna watu wengine ni wa ajabu sana ktk dunia hi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom