Ushauri kuhusu kichaa cha Mbwa

MKT

Member
May 10, 2019
10
53
KICHAA CHA MBWA

Ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoitwa Rabies lyssavirus

Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa machache yanayoweza kusambaa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu.

Ugonjwa huu usambazwa na wanyama mbalimbali, kutoka kwa hao wanyama kwenda kwa binadamu

Mbwa ni mnyama anayechangia zaidi ya asilimia 99 ya usambaaji wa ugonjwa huu kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadam.

Hivyo basi tukidhibiti tatizo hili kwa mbwa, kwa kiasi kikubwa tunakuwa tumedhibiti usambaaji wa tatizo hili kwa binadamu kwa asilimia 99.

USHAURI:
1. Kumbuka kumpeleka mbwa kwenye chanjo za kichaa cha mbwa.
2. Kuwa makini na mbwa koko wanodhurura mitaani, wasio na uangalizi.
3. Usifuge mbwa kama hauko tayari katika kumlisha, kumtibia na kumpatia kinga mbali mbali.

Credit: @afyakiganjani

@mifugo_tz tunatoa huduma za chanjo kwa mbwa, paka, nk.

Karibu tukuhudumie, kupata huduma bora wasiliana nasi kupitia:

Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 765 291 489
+255 625 994 023

Email:
mifugotz@gmail.com

images.jpeg
86f6464d18ab50fe418fdc49328954e9.jpeg
 
Back
Top Bottom