Upate mbili tatu pesa yako em jikaze basi utafute zako.Ndio maana nimekuja huku kupata mbili tatu kabla sijamshauri kuchukua huo mkopo
Kijana ana bahati kubwa sana kupata mshahara wa 4m akiwa na miaka 26, hilo ni baraka. Ila mkopo wa ofisini wa 100m unahitaji tahadhari kubwa. Kazi si ya milele lakini deni hubaki. Kabla hajakopa ajihakikishie ana akiba ya kutosha, ana mpango wa uwekezaji unaolipa mkopo wenyewe (sio kutegemea mshahara), na aanze na mkopo mdogo kama majaribio. Bila mpango ulioandikwa na kipato mbadala, ni bora aiache kuliko kuingia majanga baadaye. Mkopo mzuri ni ule unaolipa wenyewe, si ule wa kuonyesha uwezo.Hello wadau, poleni sana na majukumu ya kulijenga taifa.
Ipo hivi mimi nina mdogo wangu mwaka jana alipata mchongo kwenye taasisi moja hivi na wanamlipa vizuri sana like 4m kwa mwezi na tena bado ni mdogo sana ni miaka 26 tu.
Juzi kaja home nikawa namuulizia habari za kazi akawa anipa stories zake kuhusiana na kazi yake ndo kaniambia anauwezo wa kukopa hadi milion 100 kwa udhamini wa ofisi yao.
Je, ni mshauri tu akope au aiache maana anaweza kukopa kwa kufanya vitu vya msingi mwisho wa siku ikawa majanga
LogicKijana ana bahati kubwa sana kupata mshahara wa 4m akiwa na miaka 26, hilo ni baraka. Ila mkopo wa ofisini wa 100m unahitaji tahadhari kubwa. Kazi si ya milele lakini deni hubaki. Kabla hajakopa ajihakikishie ana akiba ya kutosha, ana mpango wa uwekezaji unaolipa mkopo wenyewe (sio kutegemea mshahara), na aanze na mkopo mdogo kama majaribio. Bila mpango ulioandikwa na kipato mbadala, ni bora aiache kuliko kuingia majanga baadaye. Mkopo mzuri ni ule unaolipa wenyewe, si ule wa kuonyesha uwezo.
Pesa pesa pesa
Na hapa ndipo shida inapoanzia, pesa inakopwa kabla ya mipango.Anataka kukopa sababu anakopesheka?