Ushauri kuhusu hii kozi ya logistic and transport management.

Ushauri kuhusu hii kozi ya logistic and transport management.

Guy Isaac

Senior Member
Joined
Aug 10, 2019
Posts
126
Reaction score
60
Naomba kufahamu kiundani zaidi juu ya hiyo course ni sector zipi ninaweza nikafanya kazi nikiisomea.

Ninaaomba maoni na ushauri wenu wana JF brothers and Sisters.
 
Naomba kufaham kiundan zaidi juu ya hyo coz ni sector zipi unaweza ukafnya kazi ka nikisomea hyo programme,naomba maoni na ushauri wenu wana jf brother's and Sister 's
Addition, bachelor degree in logistics and transport management Vs bachelor degree in marketing and public relation,ni ipi iko vzr kupata kazi mapema pasipo kuwekwa pending kwa mda mrefu mtaan, yaan kwnye soko la ajira
 
Na vip kuhsu wigo wa ajira hapo imekaaje mkuu ? But am sorry kwa maswal mengi

Wewe piga kitabu kwanza pata upper class uwe competent
Hakuna fani isiyo na ajira,kwani kupata ajira ni bahati na connection.
Ukishamaliza kusoma kama huna connection unaanza kazi ya kutafuta kazi.
Fani za ufundi hazina longolongo kupata kazi
 
Okay, shkran xana kaka nimekuelewa kbsa, Mungu akubariki
 
Usijari nikutakie muendelezo na mwisho ulio mwema.
Ukisha hitimu na kuanza kutafuta kazi usiweke x badala ya s.
Utanishukuru badae
Hhahahaa !!!! Hya sitoweka tena hyo "x" japo napenda sana kuitumia kwnye uandishi hasa kwenye simu ndo napenda zaidi sometime hata nikiwa nachat na mzee huwa najisahau naiweka
 
Hhahahaa !!!! Hya sitoweka tena hyo "x" japo napenda sana kuitumia kwnye uandishi hasa kwenye simu ndo napenda zaidi sometime hata nikiwa nachat na mzee huwa najisahau naiweka

Taratibu utazoea kila kitu na wakati wake.👍
 
Back
Top Bottom