Tetesi: Ushauri Kuhusu hawa Wanawake

Wakuu nianze hivi, mimi miez kama mitatu imepita nlikuwa nakatiza kariakoo-mtaa wa Agrey na mshikaji wangu mara akapita binti mkali jamaa akanishtua nimwangalie ( kama ilivyo hulka ya wanaume wote), kuchek mtoto mzuri, nikamtania mshkaji wangu "nimwite nikuonyeshe viwango vyangu enzi zangu " akasema huwez, Mwanaume nikajitosa nikaongea na katoto kazuri tukaelewana kukauliza unakaa wapi, kanakaa huko huko nakokaa mimi, nikamwambia nenda unapoenda ukiwa unarud niambie turud wote, bila hiyana mtoto akanishtua, nikarud nae mtaani nikaenda kujibanza nae sehemu tukapiga stori nikakapa nauli kakasepa, Relationship ikawa imeanza ivyo baada ya few weeks mnyamwezi nkajilia vyangu. KWENYE MKANGANYIKO SASA: Mtoto tukawa tunawasiliana kama kawaida, nikasafiri kikazi nikaenda Arusha, wakati nipo kikazi Arusha nikapigiwa simu na mwanamke simfahamu(ana sauti nzuri), anadai tulishawah kukutana na labda nlipoteza namba yake ila kila nkivuta picha sikumbuki , nkamwambia nkirud dar ntakuchek maana nae yupo dar , nlivyorud dar nikamchek, tukapanga kuonana, sasa hapa technique yangu nimwone kwanza yeye kama hafai nimkimbie, nikamleta mpaka mtaani nikamsimamisha sehemu nilivyomwona mtoto chombo nikampeleka home tukapiga piga stori, ila kwa sisi mafundi wa one night stand nikala kitu kitamu, tulivyomaliza akadai hajajua ata nimemlaje eti nimemla kisailensa....na kwakuwa ni katamu nilikatunuku mashine haswa kakaniambia naomba niseme UKWELI! UKWELI WENYEWE SASA: Kumbe kalitumwa na yule mwanamke wa kwanza kanipeleleze kama nampenda kweli sababu yule alikuwa na wanaume wawili mimi na mwingine(uknown)., kakasema ushenz wa rafiki yake wote, si nimeshakakoleza, kakampigia simu mbele yangu na nikasikia, nikakaruhusu katoto kazuri kakaondoka, sasa kalichokosea kalivyosepa, kameshayatibua kalipiga simu kakamwambia ukweli kwamba kananipenda ye aendelee na yule mwingine kenyewe kataendelea na mimi, WAKUU HADI SASA UMETOKEA UGOMVI MKUBWA NA WAMEKUWA MAADUI UNGEKUWA MIMI UNGEFANYAJE ? Ushauri please.....




Sent from my iPhone using JamiiForums
Mhhh nmesisimka ngoja nitafute papuchi
 
Biashara hiyo ya mahawara, mbona hainaga kupiga mahesabu hivyo?

Watu wanaishi kwao unawezaje kuumiza kichwa kwa mfano?

Hauna uwezo wa kukontroo mahawara zaidi ya wawili na kuwaridhidha kila mmoja kwa muda wake?

Watu wanaishi na wanawake zaidi ya hao tena ni wa ndoa wakimtegemea kabisa na bado wote akawaridhisha, sembuse mahawara jamani, mbona simple tu?

Halafu mkuu stori yako imefanana na yangu %90, isipokuwa tofauti ni madhununi ya huyo mvamizi!
Kwangu mimi, huyu intercepter alisimuliwa swala zima la falagha na uhongaji wa kufuru, wivu ukampanda akajilengesha kwa simu hivyohivyo.
Kwa kuwa nilijua ni mbinu, ilibidi nimtoze faini ya kiingilio ili kumuunga kwenye group na akatoa ili ahakikishe!

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu nimecheka ahahahahahahahahaha aisee ila haya mambo magumu sana kuyaelewa kama sanaa yake huijui mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Story za kipumbavu kabisa? wewe kabila gani? muda uliotumia kuandika huu uzinzi wako ungetafuta pesa. Umri haugandi kijana fainali uzeeni. we hesabu pupuchi tu.
Wewe umejuaje kama wakati yakimtokea hayo hakuwa katika harakati za kuhangaikia maendeleo yake?
Mapenzi yanazuiaje maendeleo ya mtu?

Wanawake wenyewe haohao ndiyo kisababishi na chachu ya maendeleo.
Dunia hii inaendeshwa na mapenzi asikwambie mtu.

Halafu mara nyingi inafahamika kuwa, ukikuta mtu analaani jambo fulani kwa kukakamaza mishipa yake ya shingo, usifanye papara.

Mwangalie usoni kwake ama mfuatilie matendo yake kimakini, utagundua kabisa kuwa yeye ndiye mhusika mkuu wa matendo hayo anayolaani, isipokuwa hapo anajaribu kulivua koti la uhusika ili aonekane ni mwema katika jamii.
Dunia hii imejaa unafiki sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee umishatimiza jukumu lako la kuwagegeda...wacha wagombane wenyewe huko wee kaa kimya Kuna mmoja atakuja utafuta tuu mgegedo ...na akileta papuchi wee jigegedee tuu Wala usiwaonee huruma kaka.
 
Wewe umejuaje kama wakati yakimtokea hayo hakuwa katika harakati za kuhangaikia maendeleo yake?
Mapenzi yanazuiaje maendeleo ya mtu?

Wanawake wenyewe haohao ndiyo kisababishi na chachu ya maendeleo.
Dunia hii inaendeshwa na mapenzi asikwambie mtu.

Halafu mara nyingi inafahamika kuwa, ukikuta mtu analaani jambo fulani kwa kukakamaza mishipa yake ya shingo, usifanye papara.

Mwangalie usoni kwake ama mfuatilie matendo yake kimakini, utagundua kabisa kuwa yeye ndiye mhusika mkuu wa matendo hayo anayolaani, isipokuwa hapo anajaribu kulivua koti la uhusika ili aonekane ni mwema katika jamii.
Dunia hii imejaa unafiki sana!

Sent using Jamii Forums mobile app

Umenena mkuuu...Yee mwenyewe angekuwa mtafuta pesa sii asinge Soma thread mbona kapaparikia kusoma mambo ya mapenzi.
Kugegedana ndio Raha ya dunia vyengine vyote ni mbwembwe tuu za binadamu.
 
Back
Top Bottom