yusufu hezron
Member
- Jan 2, 2012
- 88
- 21
- Thread starter
-
- #41
Ahdante sana mzeeenaomba nikupe Data za Google Toyota Fuel Consumption kati ya Mark II yenye cc1998 na Corolla yenye cc chini ya 1498 huko kwa wenzatu
Toyota
Model Mark II
Generation Mark II (JZX110)
Engine 2.0 i 24V (160 Hp)
Doors 4
Power 160 hp/6200 rpm.
Maximum speed 190 km/h
Fuel tank volume 70 l
Position of engine Front, longitudinal
Engine displacement 1998 cm3
Number of cylinders 6
Fuel consumption (economy) - urban 14 l/100 km.
Fuel consumption (economy) - extra urban 8 l/100 km.
Kerb Weight 1380 kg.
kwa hiyo lita 14 ni kwa kilomita 100
Toyota Mark II (JZX110) 2.0 (petrol, 2001) 14.0 l/100km / 16.80 mpg
Toyota Mark II (JZX110) 2.0 (160 hp, petrol, 2001) - Fuel consumption - urban
Corolla 1.3 Fuel consumption
ToyotaCorolla
Fuel consumption recorded on the launch:
DURBAN:
Average: 5.31 L/100 18.83 Km/L
CAPE TOWN:
Average: 5.61 L/100 17.83 Km/ L
JOHANNESBURG:
Average: 4.88 L/100 20.49 Km/L
All Groups Average: 5.27 L/100 18.98 Km/L
Ahsante sanaMark II Grande Gx 110 ni bonge la gari asikudanganye mtu.
Comfortability yake ni bab kubwa
Wese inakula fresh tu,
NB: hakikisha switch ya VVT-i inafanya kazi vizuri vinginevyo utaona hii gari haifai.
Utajuaje vvt-i switch ni mbovu? Ni rahisi sana,utaona Taa ya check engine inawaka.
Kwa kifupi hakikisha hakuna warning light yoyote inayowaka hapo kwenye dashboard maana kuna watu wanaacha mitaa ya warning inawaka afu wanakuja humu JF kulalamika au kupotosha watu.
Pia hakikisha Taa O/D Drive haiwaki kwa kubonyeza hako ka button kadogo kwenye gear lever.
Asanteni.
Mkubwa kwa mfano litre moja inaenda km ngapiNdio gari ninayo tumia sasa, Ulaji wa mafuta ni kawaida sana. Ila ni gari moja imetulia sana, Safari ndefu utaenjoy sana, ipo comforable.
honestly sijawahi pima. Ila ulaji wake ni wa kawaida sana. Kikubwa hakikisha engine iko vema. UtaenjoyMkubwa kwa mfano litre moja inaenda km ngapi
Mkuu kwenye matumizi ya mafuta hawatakuambia ni mfuko wako. wenye madeal huyatumiaMkubwa kwa mfano litre moja inaenda km ngapi
Km 450 kwa lita 60 hio gari itakuwa na tatizohebu mumshauri akanunue magari mengine yanayotumia mafuta vizuri kma Corolla au IST
huko Iringa Morogoro Dodoma kuwa comfortability ni sawa na halihami barabara lakini kwa mafuta ni NO
GX Dodoma Dar km 450 ni lita 60 ulizia inatakiwa mtu mwenye pesa (1L= 8km)
Corolla au IST Dodoma Dar 450km ni lita 28 na yanabaki (1L = 18km)
Hata mimi nimeshangaa nina engine ya 1g vvti Tanga-Dar lita 30 kwa mendo zaidi ya 120kphHiyo gx uliokua unaendesha wewe labda kama land cruiser gx.... Ila kama unazungumzia 1g-fe hiyo gari nna uhakika ni bovu....
Dar dom kwa engine ya 1g fe nzima kabisa ni lita 30 to 35 max...
Usidanganye watu kaka...
Ukiaverage hapo ni wastan km 13 kwa lita.
Mkuu umeongea point hilo gari bonge la gari mi ninayo ninalo musoma nateleza Dar saa 11 asubuhii 11 mwanza sa2 tarime usiku tarime asikudanganye mtu hilo no bonge la gari pata 6 la cc 1990....fullstopMark II Grande Gx 110 ni bonge la gari asikudanganye mtu.
Comfortability yake ni bab kubwa
Wese inakula fresh tu,
NB: hakikisha switch ya VVT-i inafanya kazi vizuri vinginevyo utaona hii gari haifai.
Utajuaje vvt-i switch ni mbovu? Ni rahisi sana,utaona Taa ya check engine inawaka.
Kwa kifupi hakikisha hakuna warning light yoyote inayowaka hapo kwenye dashboard maana kuna watu wanaacha mitaa ya warning inawaka afu wanakuja humu JF kulalamika au kupotosha watu.
Pia hakikisha Taa O/D Drive haiwaki kwa kubonyeza hako ka button kadogo kwenye gear lever.
Asanteni.
Ni gari nzuri mafuta ya elf kumi kwa dar unatumia kms 50 huku ukitumia ac usidanganywe kuwa ni gari mbaya
Huyo jamaaa anaeuza naweza kupata mawasiliano take?
Mm mwenyewe natumia iko njema sanaNi gari nzuri mafuta ya elf kumi kwa dar unatumia kms 50 huku ukitumia ac usidanganywe kuwa ni gari mbaya
Nimeasafiri siku si nyingi dom to dar kwa nusu tank broo acha fixhebu mumshauri akanunue magari mengine yanayotumia mafuta vizuri kma Corolla au IST
huko Iringa Morogoro Dodoma kuwa comfortability ni sawa na halihami barabara lakini kwa mafuta ni NO
GX Dodoma Dar km 450 ni lita 60 ulizia inatakiwa mtu mwenye pesa (1L= 8km)
Corolla au IST Dodoma Dar 450km ni lita 28 na yanabaki (1L = 18km)
Acha FIX dogoNimeasafiri siku si nyingi dom to dar kwa nusu tank broo acha fix
post: 28562817 said:Nikisafiri ni km10 mpaka 11 kwa lita kwa ufupi ni kwamba kwa safari ambazo nilishafanya kwa speed ya 140pkh - 170kph ni km 10 hadi 11 kwa lita yaani tank moja to Arusha na tank mbili to mwanza. Nafikiri siku nikifanikiwa kwenda kwa speed ndogo itakula kidogo zaidi.
Kumbuka ni Gx110
Aina engine za Gx11
tumemshauri mwenzako asiinunue asilani hizo Toyota GX 100 na naona alituelewa tangu mwaka jana mwanzoni Februari 2017 na zilikuwa zimeshuka bei mpaka milioni 3 (3,000,000/)Mm mwenyewe natumia iko njema sana
huyu jamaa ndiye aliyeomba ushauri anunue hili gari sasa mnachotakiwa ni uuweka ukweli km upo sio kutupinga sisi Member bila vigezo ili alinunuepost: 19815983 said:Kuna bwana mmoja ananiambia Kuwa ile gari ni six ila ina 1980cc sasa ndo nataka kujua uhalisia uliopo kwenye ulaji wa mafuta kwa kuzingatia hivo vigezo
Hapo umeongea kweli tupu. Na hizo zinafanana kwa kila kitu na Verossa. Ila kwa hizo za cc 2500 zipo za Verossa,Grande Mark2 tena ni D4 Engine,ina nguvu moto wa kuotea mbali,na pia zinakaa kwenye Toyota Brevis. Wastani kilometa 9-11 /L on highway na 7-8km/L kwa mjini na foleni. Na ulaji huo ni sawa na Rav4 yoyote uijuayo,Nadia,Noah,Suzuki za cc 2000(Vitara). Kwa kifupi hizo gari ni Sedan,ila nguvu na specs zake ni kama baadhi ya Hardtop. Hata rim zake ni kubwa kama RAV kili time na old model.Nimeshawishika kuchangia hii mada kwani nami natumia gari hii kwa miaka mitano sasa.
Naona watu wanadanganyana kuhusu consumption ya mafuta naomba niseme. Kwa mimi kwa hapa mjini dar inakula km 7.4 mpaka 8 kwa lita. Kwaxsiku natembea km 100 kutoka home kuja town na kurudi.
Nikisafiri ni km10 mpaka 11 kwa lita kwa ufupi ni kwamba kwa safari ambazo nilishafanya kwa speed ya 140pkh - 170kph ni km 10 hadi 11 kwa lita yaani tank moja to Arusha na tank mbili to mwanza. Nafikiri siku nikifanikiwa kwenda kwa speed ndogo itakula kidogo zaidi.
Kumbuka ni Gx110
Aina engine za Gx11
2.0 L 1G-FE petrol I6
2.5 L 1JZ-GE petrol I6
2.5 L 1JZ-FSE direct inject petrol I6
2.5 L 1JZ-GTE turbocharged petrol I6