Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Ford Escape XLT 2008

Habari wadau wa jamiiforums,

Nimetokea kuipenda hii FORD ESCAPE XLT 2008, hizo chini ndiyo specs zake naombeni ushauri juu ya mafundi, spares na changamoto za gari hii. Thanks.

View attachment 1887962

SPECS
LOCATION YOKOHAMA
MileageYearEngineTrans.Fuel
121,307 km2008/72,260ccATPetrol
Max.Cap
Ref. No.BK223863Mileage121,307 km
Chassis No.LFACTMWNX82000402Engine CodeL3
Model CodeABA-LFAL3FSteeringRight
Engine Size2,260ccExt. ColorSilver
LocationYOKOHAMAFuelPetrol
Version/ClassXLTSeats5
Drive4wheel driveDoors5
TransmissionAutomaticM314.343
Registration
Year/month
2008/7Dimension4.48×1.84×1.74 m
Manufacture
Year/month
N/AWeight1,550 kg
@prondo njoo
 
Sisi Timu Kukariri Toyota hatuwez kukupa ushauri mzuri, Ila kwa kifupi niseme Gari ni matunzi yako tu, hivyo hiyo Ford Escape imiliki tu na uitunze vyema.
Bro wangu ana miliki Mazda Tribute ambae ni pacha wa Ford Escape na anadunda nayo vzr tu kiasi ameni-i spire nihame Toyota nami ntafute brand nyingne nitambe😋😋
 
Nimeh

Nimehama Toyota mazima
 
Back
Top Bottom