Naomba muongozo wa TRA calculator maana sielewi

Ok9

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
4,542
4,117
Hii ni Toyota murano ina $3,800 hvi.....


Ref No
BF586219

Chassis #
PNZ50-100954

Model Code
CBA-PNZ50

Version / Class
350XV FOUR
Engine Code
VQ35
Mileage
99,223km
Engine Size
3,490cc
Registration Year
2008 / 2
Manufacture Year
2008 / 2
Ext. Color
Black

Wheel Drive
4wheel drive
Transmission
Automatic
Location
-
Steering
Right
Fuel
Petrol

Seats
5
Doors

Dimension
4.77x1.88x1.68m

M3
15.066

Weight
1,790kg

Kodi ni sh ngapi hadi kutoa bandarini?
 
Hii ni Toyota murano ina $3,800 hvi.....


Ref No
BF586219

Chassis #
PNZ50-100954

Model Code
CBA-PNZ50

Version / Class
350XV FOUR
Engine Code
VQ35
Mileage
99,223km
Engine Size
3,490cc
Registration Year
2008 / 2
Manufacture Year
2008 / 2
Ext. Color
Black

Wheel Drive
4wheel drive
Transmission
Automatic
Location
-
Steering
Right
Fuel
Petrol

Seats
5
Doors

Dimension
4.77x1.88x1.68m

M3
15.066

Weight
1,790kg

Kodi ni sh ngapi hadi kutoa bandarini?
Muzee TOYOTA MURANO.. lazima hio calculator idate..hilo gari ni la company gani Japan..!? Au from China.?
 
5c6b99681a9a06db0eab294aa4d85ddb.jpg
 
Mkuu hiyo ni Nissan Murrano, ila nakushauri ungecheki yenye CC 2490, Iko vizuri sana.
 
Serikali inakula kuliko muuzaji wa hiyo gari
... murano nisamehe
 
Hii ndio Bongo,gari ni anasa,ndio maana tunazinunua mara 2 ya bei yake halisi. Kwa mfano gari kama umeinunua kwa $ 3,500 nje basi ikifika hapa na hadi unaitumia basi kwa makisio ya haraka fanya mara 2 ya bei halisi.
 
Tunalalamikia kidi za magari. Nitajieni nchi ambayo kodi za magari ni walao nusu ya bei ya kununulia.
 
Siku ya pili sasa,calculator ya Tra haipatikani kwenye website yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom