Kaka ukitaka tv bora chukua samsung,kama budget ndogo chukua hata samsung Z58 inch21
brand new 270,000/=,achana na hizo Tv za wachina vimeo vitupu
Sawa kaka,lakini mbona china wanavitu vizuri pia mf.computer,ipad nk.labda hata hizi tz ni nzuri
kaka umenena nina kitu cha LED Samsung series 4, nimekitungua pale mlimani + kingamuzi nawahi sana kurudi ghetto now daysMimi nakushari wakati wa kununua uchague LED TV, na sio LCD TV. Ni aina gani huo utakuwa uamuzi wako. Mimi napendelea sony!
TCL ni moja ya kampuni ya wachina ambayo inafanya vizuri sana kwenye technolojia ya mawasiliano.Hata bei ya bidhaa zake sokoni ni aghali inakimbizana sana na Samsung kwenye soko la huku Asia ya mashariki.
Lakini kibongo bongo watu bila kuona kitu cha Samsung au Sony hawakuelewi kabisa.
Ni kweli mkuu watu huwa wananunua majina si ubora.mfano ukibandua lebo ya tcl ukaweka panasonic mtu atakimbilia ile panasonic hata kama zinafanana kila kitu na bei ataongeza.
Hakuna Tv mbaya bali ni ubora na utunzaji wa mtumiaji!
Kaka ukitaka tv bora chukua samsung,kama budget ndogo chukua hata samsung Z58 inch21
brand new 270,000/=,achana na hizo Tv za wachina vimeo vitupu
kaka umenena nina kitu cha LED Samsung series 4, nimekitungua pale mlimani + kingamuzi nawahi sana kurudi ghetto now days
naombeni tofauti kati ya LED TV na LCD TV
Hiyo inaitwa Company reputation,, watu tunakimbilia majina makubwa kwa sababu tuna uhakika hawatatuangusha as wana experience ya kutosha kwenye utengenezaji wa products zao