Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,200
- 6,488
Binadamu hatuwezi kuwa na mtazamo sawa kwenye maisha.usiwe mvivu wa kulima,kama bongo pamekushinda nje hupawezi....... na kwa hyo unga unga yako ni dhahiri hujiwezi tulia tu mkuu
hahaha sawaBinadamu hatuwezi kuwa na mtazamo sawa kwenye maisha.
Wewe una mtazamo wako na Mimi ni mtazamo wangu na Imani yangu kuhusu kutafuta pesa.
Usilazimishe mtazamo wako kuwa sawa na mtazamo wa watu wengine.
Kulima hata Norway naweza kulima...
Ahsante kwa mchango wako
Umetia Gundu huu uzi mkuuhahaha sawa
😂 Dah 🙌Umetia Gundu huu uzi mkuu
Hahaha 😂 unajiona umeandika point ety hahaha Yani hapa umeandika takataka kwasababu hujui Chochote na huna exposure ya kusafiri.Sasa wewe Arabuni ufanye njia ya kuelekea Ulaya upo serious kweli? Alikushauri nani?
Kwaiyo unataka Nini?? Hii ni Tabia ya awali kwa mtu mwenye vinasaba vya ushogaBe serious ulienda kusoma chuo mambo ya gender na unajiita mhitumu wa chuo
Wewe nae em jifunze kusoma na kuelewa Uzi unataka Nini unataka nikufanyie summarization kwa hili phrase???Unaenda uarabuni kufanya nini?
Bwana nitokeeee hapa nani amekuambia anataka msaada wako?Aisee, ujanja mwingi mbele giza....karibu Deutschland 🇩🇪 hapa Ila peace of advice punguza ujuaji hasa kwa usio wajua wapo wengi wamesaidiwa kuingia "viwanja" humu humu JF, Ila kwa huu ujuaji wako.
alafu huyo ndio muhitimu wa chuo anayetaka kutafuta maisha ulaya...... ila kozi aliyosoma ndipo mzizi wa tatizoUnataka ushauri au unataka kuchambana na watu mbona unapanic vitu vidogo mzee
kidogo tu...Umetia Gundu huu uzi mkuu