Eddy Elphazi
Member
- Aug 16, 2020
- 8
- 9
Aisee usipokuwa na roho ngumu utaishia kuvuna mabua.. Hamisha hiyo biashara mahali pasipo na kujuana kwingi.. Binadamu hawana shukrani wala haya wanakukopa ukifilisika ndio wa kwanza kukucheka![emoji35][emoji34]Habarini za wakati huu wana JF
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu nina miaka takriban mitatu mtaani sjabahatika kupata ajira so nikawa najichanga changa kwenye mambo yangu nikapata kama 2.2 M nikafungua kigrocery mtaani sasa kinachonisibu asee yan nakopwa so
Asante sana kwa ushauri so mwenyewe ulifanya biashara kama hii?Aisee usipokuwa na roho ngumu utaishia kuvuna mabua.. Hamisha hiyo biashara mahali pasipo na kujuana kwingi.. Binadamu hawana shukrani wala haya wanakukopa ukifilisika ndio wa kwanza kukucheka![emoji35][emoji34]
Nilizika 8M hivi hivi naona.. Mauzo daily si chini ya laki2 lakini cash haifiki 30...
Kingine huko utakapohamia punguza ukaribu na wateja hasa wale wanotaka kukuzoea kwa haraka
Yeah uko sahihi ni ngumu haswaaHiyo biashara ni ngumu mno.Yaani mpaka uuze chupa 20 ndio upate faida ya elf 5! biashara hii inawafaa wanawake ambapo huifanya kama kichaka cha kujifichia kudanga..
AiseeHiyo biashara ni ngumu mno.Yaani mpaka uuze chupa 20 ndio upate faida ya elf 5! biashara hii inawafaa wanawake ambapo huifanya kama kichaka cha kujifichia kudanga..
Yeah nilishawahi kufanya lakini nimeacha kabisaAsante sana kwa ushauri so mwenyewe ulifanya biashara kama hii?
Kuna sehemu niliona muhudumu ndio anahusika na kuna daftari anasaini kaunta kuwa nimechukua vinywaji kiasi kadhaa sijatoa hela..Weka kaunta kauzu...wahudumu ndio walipe madeni...yaani muhudum akikopesha mtu..yeye ndio ahusike kwenye kulipa asidaiwe mteja.
Hata ulozi haukufanya kazi..😂Aisee usipokuwa na roho ngumu utaishia kuvuna mabua.. Hamisha hiyo biashara mahali pasipo na kujuana kwingi.. Binadamu hawana shukrani wala haya wanakukopa ukifilisika ndio wa kwanza kukucheka![emoji35][emoji34]
Nilizika 8M hivi hivi naona.. Mauzo daily si chini ya laki2 lakini cash haifiki 30...
Kingine huko utakapohamia punguza ukaribu na wateja hasa wale wanotaka kukuzoea kwa haraka
Ulilewa konyagiHata ulozi haukufanya kazi..[emoji23]
Umeongea point sana mkuu, na ndo ilivyo!!!Hiyo biashara ni ngumu mno. Yaani mpaka uuze chupa 20 ndio upate faida ya elf 5! biashara hii inawafaa wanawake ambapo huifanya kama kichaka cha kujifichia kudanga..