P Popo bawaa Member Joined Apr 19, 2016 Posts 47 Reaction score 2 Apr 20, 2016 #1 Ni mafuta yapi mazuri kwa ajili ya nywele na ngozi? Maana nina hali mbaya kisura.
mchecheto JF-Expert Member Joined Oct 30, 2014 Posts 1,532 Reaction score 1,479 Apr 20, 2016 #2 Kuna kaka mmoja yupo kwenye kampuni moja kubwa hivi ya kimarekani ambayo pia ina deal na products za urembo. Mtafute kwa hii namba 0752134333 atakusaidia. Be confident, mwambie unachohitaji.
Kuna kaka mmoja yupo kwenye kampuni moja kubwa hivi ya kimarekani ambayo pia ina deal na products za urembo. Mtafute kwa hii namba 0752134333 atakusaidia. Be confident, mwambie unachohitaji.
richenriques Senior Member Joined Jun 6, 2015 Posts 188 Reaction score 33 May 13, 2016 #3 Popo bawaa said: Ni mafuta yapi mazuri kwa ajili ya nywele na ngozi? Maana nina hali mbaya kisura. Click to expand... Umepata Suluhisho la tatizo lako??
Popo bawaa said: Ni mafuta yapi mazuri kwa ajili ya nywele na ngozi? Maana nina hali mbaya kisura. Click to expand... Umepata Suluhisho la tatizo lako??
U UWOGA=UMASKINI JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 2,400 Reaction score 1,018 May 13, 2016 #4 mchecheto said: Kuna kaka mmoja yupo kwenye kampuni moja kubwa hivi ya kimarekani ambayo pia ina deal na products za urembo.forever living hapana Mtafute kwa hii namba 0752134333 atakusaidia. Be confident, mwambie unachohitaji. Click to expand...
mchecheto said: Kuna kaka mmoja yupo kwenye kampuni moja kubwa hivi ya kimarekani ambayo pia ina deal na products za urembo.forever living hapana Mtafute kwa hii namba 0752134333 atakusaidia. Be confident, mwambie unachohitaji. Click to expand...
Illuminata Rodgers JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 2,845 Reaction score 2,030 May 21, 2016 #5 Kwa ngozi tumia rapid clair na kwa nywele tumia kuza.
cecili beno Member Joined Oct 5, 2012 Posts 10 Reaction score 5 Jul 10, 2016 #6 Illuminata Rodgers said: Kwa ngozi tumia rapid clair na kwa nywele tumia kuza. Click to expand... Rapid Clair inapatikana wap... Ni ngoz yoyote inafaa
Illuminata Rodgers said: Kwa ngozi tumia rapid clair na kwa nywele tumia kuza. Click to expand... Rapid Clair inapatikana wap... Ni ngoz yoyote inafaa
Illuminata Rodgers JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 2,845 Reaction score 2,030 Jul 10, 2016 #7 cecili beno said: Rapid Clair inapatikana wap... Ni ngoz yoyote inafaa Click to expand... Inapatikana kwenye maduka ya vipodozi,ndiyo inafaa kwa ngozi yoyote.
cecili beno said: Rapid Clair inapatikana wap... Ni ngoz yoyote inafaa Click to expand... Inapatikana kwenye maduka ya vipodozi,ndiyo inafaa kwa ngozi yoyote.
lovenessy Senior Member Joined Aug 20, 2013 Posts 105 Reaction score 68 Jul 22, 2016 #8 ushapata kama bado 0658607111