Ni kweli nimekosea ila way forward kuovercome hili jambo la kubonyea?Ulinunua godoro la density ngapi? Next time nunua lenye density 28 kwenda juu.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Mimi ni mtu wa kawaida.Ulinunua godoro la density ngapi? Next time nunua lenye density 28 kwenda juu.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Weka lugha rahisi, sisi tunanunua kwa unene yaani kipimo cha inchi 4, 6 nk. Density kwetu ni kitu kipya na si kosa kutokuijua, weka lugha rahisi ili utusaidie.Ulinunua godoro la density ngapi? Next time nunua lenye density 28 kwenda juu.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Wauzie Mafundi Sofa, wewe nunua Godoro jipya.Ni kweli nimekosea ila way forward kuovercome hili jambo la kubonyea?
Mkuu ilo Godoro lako wamekubambikia ya Manzese ayo fake, gawa tu ilo kanunue kiwandani moja kwa moja tena utapata Original kwa bei nafuu, mm niliensa Comfy kiwandan ,nina mwaka wa 8 hu natumia hakuna kubonyea wala nn.Habari,
Naomba ushauri kuhusiana na magodoro yanayobonyea kwa kati mana nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi.
Naomba ushauri jinsi ya kutatua hii hali kwa waliopitia hii hali.
Ahsante
Unaangaliaje density 28 wengi wetu tunajali Inch Kubwa tu.Ulinunua godoro la density ngapi? Next time nunua lenye density 28 kwenda juu.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
moja ya makosa makubwa wanayofanya kampuni za kuzalisha bidhaa tofauti na Apple ni kuzalisha bidhaa kwa kufata vipato vya watu.Unaangaliaje density 28 wengi wetu tunajali Inch Kubwa tu.
Brand gani nzuri kwa sasa sokoni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]PUMBAVUUUMkuu unatafuta fundi wa kutengeneza godoro?Imefika hali hyo ni kureplace na kingine unless utuambie uliskia wapi fundi wa kurepair godoro
Nunua godolo katika kampuni hizi pekee hapa TanzaniaWeka lugha rahisi, sisi tunanunua kwa unene yaani kipimo cha inchi 4, 6 nk. Density kwetu ni kitu kipya na si kosa kutokuijua, weka lugha rahisi ili utusaidie.
Pia godoro ndilo hilo kama mtumbwi, afanyeje kulirekebisha? Kama uwezekano upo.
Hayo magodoro ndiyo tunayo nunua japo si rahisi kununua kutoka kwenye makampuni uliyoyataja bali toka madukani ambako wauzaji hawajui Density ni nini. Je, kuna sehemu yoyote kwenye godoro panaonesha hiyo Density?Nunua godolo katika kampuni hizi pekee hapa Tanzania
No 1 QFL dodoma( sisitiza QFL hilo neno QFL lisisitize kwa herufi kubwa) ukizembea na DODOMA utapigwa
No 2 TAN FOAM ARUSHA
No 3 upa BANCO
No 4 VITA FOAM (vita SUPREME VITA RAHA)
Yaan fuata huo mtikiliko wa namba ukikosa fulani atilist upate fulani katika hizo namba
Duh....nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi.
Naomba ushauri jinsi ya kutatua hii hali kwa waliopitia hii hali.
GSM FOAM
TUF FOAM
godoro laki kubwa kama kitanda
after month ukiamka asubui unaliacha limelala (limebonyea) unarud jion unakuta bado limelala