Ushauri kuhusi Rhesus factor (+-)

Corosive

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
1,459
Reaction score
2,959
Ndugu zangu habarini za miamko?naomba niende kwenye hoja,mke wa jamaa yangu alikua mjamzito na wakati ameenda clinic alipimwa damu kama ilivyo utaratibu, baadae akagundulika ana Rh- wakati huo mumewe ana Rh+ manesi walimshauri atumie dawa fulani na kumsisitiza sana kwani angeweza kujifungua mtoto wa kwanza salama lkn wengine asingefanikiwa kuwazaa salama,

Hoja yangu-ni kwanini mtoto wa kwanza atoke salama lkn wengine wasizaliwe salama? Naomba nieleweshe kiufasaha zaidi.

Nawashukuru sana
 
Hoja yangu-ni kwanini mtoto wa kwanza atoke salama lkn wengine wasizaliwe salama?naomba nieleweshe kiufasaha zaidi,
Mkuu... Io inaitwa rh-incompatibility..
Mama rh-na baba rh+ atajifungua mtoto wa kwanza salama kwasababu mwili wake unakua hauna chance ya kudevelop antibodies nyingi (hivyo haitomdhuru mtoto) unless kama alikuwa sensitized hapo kabla.
Huyu mama akipata mimba ya pili ambapo mtoto anaweza kuwa rh+ antibodies za mama rh-, zitadetect (zitaona) kama yule mtoto tumboni ni foreign body(kitu kipya hakijazoeleka?) kwaio antibodies za mama zitaenda fight na zile +cell za mtoto kule tumboni na kuziharibu, hivyo itafanya mtoto kupata complications kama jaundice, heart failure etc..
hivyo itabidi achome anti-D, ambayo hii itamsaidia mama na huyo mtoto anaefata kuwa salama...
Sijui kama umeelewa or unahitaji more clarifications.. ๐Ÿ‘
 
Hoja yangu-ni kwanini mtoto wa kwanza atoke salama lkn wengine wasizaliwe salama?naomba nieleweshe kiufasaha zaidi,
Mkuu... Io inaitwa rh-incompatibility.

Mama rh-na baba rh+ atajifungua mtoto wa kwanza salama kwasababu mwili wake unakua hauna chance ya kudevelop antibodies nyingi (hivyo haitomdhuru mtoto) unless kama alikuwa sensitized hapo kabla.

Huyu mama akipata mimba ya pili ambapo mtoto anaweza kuwa rh+ antibodies za mama rh-, zitadetect (zitaona) kama yule mtoto tumboni ni foreign body(kitu kipya hakijazoeleka?) kwaio antibodies za mama zitaenda fight na zile +cell za mtoto kule tumboni na kuziharibu, hivyo itafanya mtoto kupata complications kama jaundice, heart failure etc.

Hivyo itabidi achome anti-D, ambayo hii itamsaidia mama na huyo mtoto anaefata kuwa salama...
Sijui kama umeelewa or unahitaji more clarifications.. ๐Ÿ‘
 
Nakushukuru mkuu naomba niongezee kidogo,je kama mwili ulishadetect Rh-je akibeba mimba ya mtoto Rh- atakua salama??au hakuna namna.?
 
Unataka we ndo umpe mimba?Rh- na Rh- haina tatizo,ila kwa nini ufike huko kote wakati tiba ipo?
Its about 200k
Hapana sina shida hyo,nlitaka nipate ufaham tuu n kwann mimi mwenye Rh+ nikimpa mimba mwenye Rh- alaf asipatiwe kinga yyte n kwann mtoto wa kwanza atasurvive lkn wengine hawatosurvive?
 
Hapana sina shida hyo,nlitaka nipate ufaham tuu n kwann mimi mwenye Rh+ nikimpa mimba mwenye Rh- alaf asipatiwe kinga yyte n kwann mtoto wa kwanza atasurvive lkn wengine hawatosurvive?
Kama alivyokueleza hapo juu ni sawa ni kwamba mimba ya kwanza ni minimal destruction kiasi mtoto anazaliwa japo wengine wanakuwa dhaifu kuumwa hakuishi,ila mimba zinazofuata lot of destruction inatokea ndo maana zinaharibika,maelezo yote yako hapo juu
Otherwise ukajisomee google
 
Asante mkuu,ubarikiwe sana
 
Lugha nyepesi ni kuwa mwizi akikuibia leo akakimbia alafu wewe ukaenda kununua bunduki akija tena na ukamuona huyo anaingia kiufupi HATAPONA.
Kutoka kula tunda kimskhara mpaka mshauri wa maswala ya uzazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ubarikiwe chief
 
Nahitaji more clarifications ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Atajifungua salama sababu antibodies zitakuwa bado hazijadetect uwepo wa rhesus factor mpya ila mtoto wa pili lazima antibodies zitadetect uwepo wa kitu kipya katika protein so lazima apate shida sababu ya hiyo incompatibility itakayotake place
 
Kutoka kula tunda kimskhara mpaka mshauri wa maswala ya uzazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ubarikiwe chief
๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€Kutoa huduma ya elimu ya afyaa muhimu sana pia boss sio kukulanaa tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ