nataka kununua min laptop kwa matumizi ya kazi shule na burudani binafsi...ofcoz itakua ni ku handle simpo task tu...so ningependa kufahamu ipi ni njema kati ya brand nyiiingi zilizopo kwenye market...pls usisite kunipa maono ewe ndugu mwa jamvi

Brand nzuri ni LG, SONY. Ila hizi laptop huchemka endapo utatumia kwa kazi nzito, pia screen yake ni ndogo na si nzuri sana ukitumia kwenye projector au programs zenye display kubwa