cacashian01
Member
- Mar 3, 2016
- 76
- 62
Mkuu kabla sijakusaidia lolote labda unisaidie kujibu yafuatayo:
1. Unaposema eneo limekuwa kama pori ina maana gani, je kuna nyumba au ni kiwanja kitupu?
Swali lina maana kwa kuwa ili eneo lirudishwe kwa Mh. Rais ni lazima kulikuwa na ukiukaji wa masharti ya umiliki wa eneo. Masharti ni mengi ila la uendelezaji hasa ndio limekuwa likipewa uzito.
2. Hilo eneo liko mahala gani, title search ulifanya lini na uliambiwa limepelekwa kurudishwa kwa rais lini? (Kama limesharudishwa kwa rais lilirudishwa na kutangazwa lini kuwa limerudishwa kwa rais?) Maake waweza kulipata tena kama halitakuwa limetolewa upya.
3. Hati ya Mzungu wa kwanza aliyemuuzia baba yenu ilikuwa inaexpire lini?
Mkuu kama utajibu maswala haya labda ninaweza kukupa ushauri.
NB: Hati feki achana nayo haina uzito wowote japo mazingira ya uuzji yanaweza kumpa uhalali mnunuzi.
Halafu huyo mzungu alikuwa RAIA wa wapi? Maana mojawapo ya sababu ya Rais kurevoke yaweza kuwa kuwauzia ardhi non citizen rejea sheria ya ardhi kifungu cha 45
Shukuru umesaidiwa. Kwanza wew ni tajiri hadi muda huu ila hujajijua tu. Pili mambo kama haya hatua inayofuatia ni kulipa kahela kidogo tu kwa huyo mshikaji mdadavuji hapo juu na kumkabidhi hili jukumu yeye wew unatoa ushirikiano tu pale inapohitajika. Shamba hilo utalipata kwa haraka tu. Nyongeza mshikaji wangu ndiye anayeshughulika na eneo lote la makongo juu kwenye huo mradi. Ukiondoa ubahili kidogo tu utatiririka vizuri sana.Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako Mkuu,umenifungua sana na kunipa mwanga na mwongozo mzuri,
Kama ulivyosema eneo nikubwa sana maana hati yake iliyotoka ni ya shamba,maana kwakipindi kile eneo la makongo juu lilikua linatambulika kama KISARAWE,ila pia nyumba hiyo ya gorofa ilikuwepo ndani yake.
Fee kidogo tu akulipe. Halafu utaendelea na kazi yake mkuu. Ardhi ni utajiriKwa maelezo yaliyotolewa hapo juu si rahisi eneo kuwa limetwaliwa na rais kwa maana ya acquisition maake ingekuwa hivyo serikali ingetoa taarifa ya kusudio la kufanya hivyo, uthamini ungefanyika na mngelipwa fidia (hii ni kama lingechukuliwa kuendeleza mji).
Lakini ipo namna nyingine ambayo rahisi anaweza kulichukua eneo ambalo hati imetolewa na masharti yaliyotolewa kwenye hati hayakutimizwa hii inaitwa Revocation of the Title.
Njia hii ya pili ya utwaaji ardhi kwa Ardhi ina mlolongo mrefu ili kuhakikisha haki ya mmiliki wa Ardhi inalindwa dhidi ya uonevu au watumishi wasiokuwa waaminifu.
Hatua ni pamoja na mmiliki kutumiwa notisi ya kusudio la kutoa mapendekezo kwa Mh. Rais kuwa miliki yake ifutwe. Notisi itaeleza mmiliki amekiuka masharti yapi na atatakiwa kujitetea kwa nini Commissioner asimshauri rais afute milki. (Notisi hutolewa na kutakiwa kujibiwa ndani ya siku 90)
Iwapo Commissioner hakuridhika na sababu ulizotoa au iwapo hukutoa sababu zozote basi atapendekeza kwa Mh. Rais kuwa miliki ifutwe.
Kimsingi utwaaji wa ardhi kwa staili hii ya pili sio kawaida labda kama kuna mgogoro au eneo ni prime. Kitu ambacho kwa mujibu wa maelezo yako sidhani kama vipo.
Ushauri wangu kama kweli eneo lilirejeshwa kwa Mh. Rais ni lazima uwepo ushahidi ikiwamo kutumiwa notisi ya kusudio la kufuta milki. (hii ni lazima ipo kwenye faili maake bila hiyo milki haifutwi)
Nakushauri uende Kinondoni wakupatie ushahidi wa hiyo notisi maana kila kiwanja kina file lake na nyaraka zote ikiwamo barua n.k huwekwa kwenye faili husika. Vikikosekana nachelea kusema hakuna kitu kama Mh. Rais ametwaa eneo lako.
NB; Mkuu ilikuwaje mkamilikishwa eneo lote hilo kwa mtu mmoja. Ni vema ukaangalie kwenye hati kama lilitolewa kama Housing Estate au Shamba. Maana haiwezekani kuwa lilitoka kama kiwanja cha kawaida.
Pili kwa kumbukumbu zangu sidhani kama Mh. Kikwete alirevoke hati yoyote DSM 2011 nakumbuka amefanya hivyo 2015.
Nakutakia ufuatiliaji mwema na karibu tena
Mkuu kabla sijakusaidia lolote labda unisaidie kujibu yafuatayo:
1. Unaposema eneo limekuwa kama pori ina maana gani, je kuna nyumba au ni kiwanja kitupu?
Swali lina maana kwa kuwa ili eneo lirudishwe kwa Mh. Rais ni lazima kulikuwa na ukiukaji wa masharti ya umiliki wa eneo. Masharti ni mengi ila la uendelezaji hasa ndio limekuwa likipewa uzito.
2. Hilo eneo liko mahala gani, title search ulifanya lini na uliambiwa limepelekwa kurudishwa kwa rais lini? (Kama limesharudishwa kwa rais lilirudishwa na kutangazwa lini kuwa limerudishwa kwa rais?) Maake waweza kulipata tena kama halitakuwa limetolewa upya.
3. Hati ya Mzungu wa kwanza aliyemuuzia baba yenu ilikuwa inaexpire lini?
Mkuu kama utajibu maswala haya labda ninaweza kukupa ushauri.
NB: Hati feki achana nayo haina uzito wowote japo mazingira ya uuzji yanaweza kumpa uhalali mnunuzi.
Habari yako,unahusika na sheria za ardhi?Ningependa kujuwa kama mirathi ilifunguliwa mwaka 72,na warithi wakagawana mirathi yao,wakafariki.Je yawezekana tena,mtoto wa miongoni wa waliogawana akafunguwa mirathi ya mali hiyo hiyo,akadai nyumba iliyopewa warithi wengine?Wakati wao walishapewa nyumba na shamba,lililopimwa viwanja karibia arubaini na kuviuza hivyo viwanja.Kwa maelezo yaliyotolewa hapo juu si rahisi eneo kuwa limetwaliwa na rais kwa maana ya acquisition maake ingekuwa hivyo serikali ingetoa taarifa ya kusudio la kufanya hivyo, uthamini ungefanyika na mngelipwa fidia (hii ni kama lingechukuliwa kuendeleza mji).
Lakini ipo namna nyingine ambayo rahisi anaweza kulichukua eneo ambalo hati imetolewa na masharti yaliyotolewa kwenye hati hayakutimizwa hii inaitwa Revocation of the Title.
Njia hii ya pili ya utwaaji ardhi kwa Ardhi ina mlolongo mrefu ili kuhakikisha haki ya mmiliki wa Ardhi inalindwa dhidi ya uonevu au watumishi wasiokuwa waaminifu.
Hatua ni pamoja na mmiliki kutumiwa notisi ya kusudio la kutoa mapendekezo kwa Mh. Rais kuwa miliki yake ifutwe. Notisi itaeleza mmiliki amekiuka masharti yapi na atatakiwa kujitetea kwa nini Commissioner asimshauri rais afute milki. (Notisi hutolewa na kutakiwa kujibiwa ndani ya siku 90)
Iwapo Commissioner hakuridhika na sababu ulizotoa au iwapo hukutoa sababu zozote basi atapendekeza kwa Mh. Rais kuwa miliki ifutwe.
Kimsingi utwaaji wa ardhi kwa staili hii ya pili sio kawaida labda kama kuna mgogoro au eneo ni prime. Kitu ambacho kwa mujibu wa maelezo yako sidhani kama vipo.
Ushauri wangu kama kweli eneo lilirejeshwa kwa Mh. Rais ni lazima uwepo ushahidi ikiwamo kutumiwa notisi ya kusudio la kufuta milki. (hii ni lazima ipo kwenye faili maake bila hiyo milki haifutwi)
Nakushauri uende Kinondoni wakupatie ushahidi wa hiyo notisi maana kila kiwanja kina file lake na nyaraka zote ikiwamo barua n.k huwekwa kwenye faili husika. Vikikosekana nachelea kusema hakuna kitu kama Mh. Rais ametwaa eneo lako.
NB; Mkuu ilikuwaje mkamilikishwa eneo lote hilo kwa mtu mmoja. Ni vema ukaangalie kwenye hati kama lilitolewa kama Housing Estate au Shamba. Maana haiwezekani kuwa lilitoka kama kiwanja cha kawaida.
Pili kwa kumbukumbu zangu sidhani kama Mh. Kikwete alirevoke hati yoyote DSM 2011 nakumbuka amefanya hivyo 2015.
Nakutakia ufuatiliaji mwema na karibu tena
Habari yako,unahusika na sheria za ardhi?Ningependa kujuwa kama mirathi ilifunguliwa mwaka 72,na warithi wakagawana mirathi yao,wakafariki.Je yawezekana tena,mtoto wa miongoni wa waliogawana akafunguwa mirathi ya mali hiyo hiyo,akadai nyumba iliyopewa warithi wengine?Wakati wao walishapewa nyumba na shamba,lililopimwa viwanja karibia arubaini na kuviuza hivyo viwanja.
Kwa maana amefunguwa kesi,lakini hakuoredhesha nyumba na shamba,walilipewa wao,ila ameoredhesha nyumba waliopewa wengine tu.Je hapo ni sawa,kwa kuorodhesha nyumba moja,na kuacha mali nyingine waliopewa wao?
Asante kwa maelezo yako.Mkuu Kikwajuni One kwanza nikukaribishe katika uzi huu kuhusu masuala ardhi.
Kuhusu swali la mimi kuhusika na masuala ya Ardhi jibu lake ni ndiyo, kwani ndio profession yangu.
Pili kuhusu hoja uliyoiweka mezani, naomba nieleze machache.
Swala la mirathi ni swala pana na linaongozwa name sheria nyingi kutegemeana uwapo wa wosia na dini na mila za marehemu. Hivyo katika kutoa ushauri haya yote huzingatiwa. Labda nieleze yafuatayo;
1. Mali iliyogawanywa kama mirathi huhesabika kama mali ya mrithi au mtu aliyeteuliwa kuwa msimamizi wa mali za marehemu kwa mujibu wa sheria. Kwa hiyo kuhusu mirathi hiyo ya marehemu wa kwanza ni dhahiri ilikuwa mali halali ya wale warithi wa mwanzo.
2. Kuhusu hoja ya pili juu ya uhalali wa watoto wa marehemu aliyepewa urithi kudai urithi wa marehemu wengine.
Uhalali wa madai hayo kisheria unategemea mambo mawili; LA kwanza iwapo haki ya urithi wanayoidai imetamkwa kwenye wosia wa marehemu hao (kwa maana kwamba marehemu waliwataja hao wadai kama warithi wa mali zao) au iwapo marehemu walikuwa Wakristo na hawakuacha mke/mme na watoto au wajukuu basi iwapo hao ndugu ndio ndugu wa karibu zaidi wa marehemu basi watakuwa na haki ya kurithi mali za marehemu hao.
Kwa kuwa hoja hii ya pili inategemeana zaidi na dini na mila husika za marehemu nashauri ni vema ukatujulisha iwapo sharti la kwanza hawakutimiza (kwa maana hawakutajwa kwenye wosia) basi tuambie iwapo marehemu waliacha watoto au la na vile vile dini na mila za marehemu.
Asante,ndio nataka ufafanuzi.Pole sana Comrade ila naamini JF ni bahari isiyo na beach kwa vipaji na weledi utasaidiwa tu!
hata siku moja usitumie tatizo la mwenzako kujinufaisha mkuu, hii ni laana mbaya sana ambayo itakula kizazi na kizazi chakoShukuru umesaidiwa. Kwanza wew ni tajiri hadi muda huu ila hujajijua tu. Pili mambo kama haya hatua inayofuatia ni kulipa kahela kidogo tu kwa huyo mshikaji mdadavuji hapo juu na kumkabidhi hili jukumu yeye wew unatoa ushirikiano tu pale inapohitajika. Shamba hilo utalipata kwa haraka tu. Nyongeza mshikaji wangu ndiye anayeshughulika na eneo lote la makongo juu kwenye huo mradi. Ukiondoa ubahili kidogo tu utatiririka vizuri sana.
Kama hati iliyotoka ni ya shamba sioni ni kwa namna gani mnyanganywe kwa njia ya revocation. Kwa sababu kama halikuwa eneo lililotolewa kwa uwekezaji bali ni maombi ya mtu kupewa milki ya shamba lake, binafsi sioni mnapokonywa vipi? ( Maake ni rahisi kumbana mwekezaji kuwa hajatimiza masharti ila sio kwa raia wa kawaida aliyeomba apewe milki ya shamba)
Fuatilia kama kuna ushahidi wa vile nilivyokueleza. Kama hakuna mafanikio kalalamike kwa Makonda straight au kwa Lukuvi. Ukishindwa hilo lalamika ikulu moja kwa moja ili wakuthibitishie lini na kwa amri ipi Mh. Rais alitwaa eneo lako
hata siku moja usitumie tatizo la mwenzako kujinufaisha mkuu, hii ni laana mbaya sana ambayo itakula kizazi na kizazi chako