eliajogroup
Member
- Feb 8, 2025
- 9
- 10
Pharmacy je wewe una taaluma yoyote inayohusu famasi ama unategemea kulipa na kuajiri?Habari wandugu
Je kwa mtaji wa 50-65 ml ni biashara gani nzuri kufanya kati ya pharmacy na hardware. Natakuliza shukrani
Zote zinafaa tofauti inakuja kwenye uzoefu, mahali biashara ilipo (soko), uptikanaji wa bidhaa nk.Habari wandugu
Je kwa mtaji wa 50-65 ml ni biashara gani nzuri kufanya kati ya pharmacy na hardware. Natakuliza shukrani
uko wapi?Habari wandugu
Je kwa mtaji wa 50-65 ml ni biashara gani nzuri kufanya kati ya pharmacy na hardware. Natakuliza shukrani
Shida ndio hio . Mawazo negative. Usitafutee sijaomba kuulizwa nilipoitoa . Ukiona una cha kushauri kaa kimwa . Na zaidi unawezafanya fanya biashara fulani ukapata mpungu na ukatafuta income source zingine . Try be positiveUnaweza kujitutumua kumshauri mtu, kumbe yupo kwa shemeji ameshiba ugali akaona achangamshe jukwaa !
Kama hujui ufanye nini na hio 65m uliiokota ama ulibeti ukala ?
Dar Mkuuuko wapi?
Hapana. Natarajia kutafuta waatalamu . Mm nikaset mifumo ya stock record na monitoring. Kama tallyPharmacy je wewe una taaluma yoyote inayohusu famasi ama unategemea kulipa na kuajiri?
Hio pesa inatosha kwa kuanzia maana around 10-20m itaisha kwenye premises ukaguzi na vibali
Punguza uongo mkuu. 10m iishie kwenye vibali? Kama hujui kitu kaa kimya.Pharmacy je wewe una taaluma yoyote inayohusu famasi ama unategemea kulipa na kuajiri?
Hio pesa inatosha kwa kuanzia maana around 10-20m itaisha kwenye premises ukaguzi na vibali
Fanya utafiti wako binafsi sehemu ulipo. Ukishagundua nini kinalipa zaidi na unaweza kukisimamia fanya hicho. Hata muuza majeneza anaona biashara yake ndo nzuri na inalipa zaidi.Habari wandugu
Je kwa mtaji wa 50-65 ml ni biashara gani nzuri kufanya kati ya pharmacy na hardware. Natakuliza shukrani
Nime generalize vibali na kuandaa premises bro, mbona comment ipo wazi hapo? Kuita wakaguzi na logistics zingine inaweza fika huko boss hujalipa pharmacist superintendent huyo pekee kuweka cheti ana demand kwanzia 1m, busness permit bado mambo ya kodiPunguza uongo mkuu. 10m iishie kwenye vibali? Kama hujui kitu kaa kimya.
Yaani wewe kupanga geto la elfu 40 ndo unaona ushamaliza maisha. Don't be too negativeUnaweza kujitutumua kumshauri mtu, kumbe yupo kwa shemeji ameshiba ugali akaona achangamshe jukwaa !
Kama hujui ufanye nini na hio 65m uliiokota ama ulibeti ukala ?
Kwa dsm hardware inalipa kila mahali, kipindi hiki mji wa dsm uko katika reform, maeneo mengi nyumba zinavunjwa na kujengwa upya kisasa, maeneo kama msasani, hardware zinafanya vizuri mnooMuhimu ni location ....
Hardware kama utapata sehemu ndio mji unaanza kujengeka, utapiga sana pesa.