Nina rafiki yangu ambaye ni "married but single" yaani kaolewa lakini anaishi mbali na mumewe mikoa tofauti na wanaweza wasionane hata mwezi au miezi.
Sasa kanifuata ananiambia yani huwa anavumilia mpaka kuna kipindi anaeaza awe na kamchepua kozi anahisi hata mumewe huko nae pengine ana kipoozeo.
Utamshauri nini mtu huyu
Sasa kanifuata ananiambia yani huwa anavumilia mpaka kuna kipindi anaeaza awe na kamchepua kozi anahisi hata mumewe huko nae pengine ana kipoozeo.
Utamshauri nini mtu huyu