Ushauri: Kaniacha ila upendo bado upo kwake

Utachezewa makalio kwakuwa huyo ni dem wa mtu mwingine,kama ndiyo mchezo wako unatafuta kuchezewa kwa nguvu,endelea
 
wadau vp nimempost ex wangu nliekuwa nampenda sanaa...kaniacha tokaa 2014 ila mm mpaka leo nmeshakua na madem kadhaa ila bado ule upendo wa kwel upo kwake na siwez kumpata tenaa...na sjui kwann naskia rahaa nkiremind those happy moments ambazo tulikua pamoja...au najikuta naskiliza wimbo m1 tyu siku nzima unaonikumbushaa kuhus yeyee....na hapo najikuta nazid kumpendaa...Japo haez kuwa wangu tenaah...naeza mpotezea ataa 4 months ila najikuta namkumbukaa teenah...Ila sasaa nmeamua kuchuku uamuz huu....kwamba ntampendaa lakini sitataka awe mpenz wangu na nikijisikia kumpost ntampost kuonesha upendo wangu japo sitataka tuwe wapenz tena...ili tyu niridhishe nafsi Yangu...Na nafsi yangu isikiee Raahaa...!!

sasaa wataalam wa haya Mambo nishaurini je nipo sawa au nakosea...am 21 na ndo natakaa nianze kuenga life...imaraa.....i need positivee Feedbacks ma people...!!!

Nawasilisha

TheMason-Engineer!
Muda utaongea kwani wengi walikua hivyo lakini sasa imebaki stori hivyo wacha muda uongee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom