Mkuu ziko nyingi sana lkn isidenti hizo ni nadra sana, ukiwa unafanya sevisi kila mara hilo tatizo sio tatizo tena.Achana na hiyo rzj95 zinashida ya kuchomoka matairi, jipige ununue rzj120 au trj120
upo sawa mkuu kuchomoka matairi ya mbele ndo udhaifu mkubwa was hii gariAchana na hiyo rzj95 zinashida ya kuchomoka matairi, jipige ununue rzj120 au trj120
USHAURI wangu ....Habari wakuu,
Nafikiria kuchukua Toyota landcr prado kama aina inayoonekana kwenye picha hapo chini. Naomba mnipe taarifa zake juu ya ulaji wa mafuta na uimara kwake kwa ujumla.View attachment 804548
Achana na hiyo rzj95 zinashida ya kuchomoka matairi, jipige ununue rzj120 au trj120