Ushauri juu ya Toyota Prado

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
Habari wakuu,
Nafikiria kuchukua Toyota landcr prado kama aina inayoonekana kwenye picha hapo chini. Naomba mnipe taarifa zake juu ya ulaji wa mafuta na uimara kwake kwa ujumla.
IMG_0807.JPG
 
Achana na hiyo rzj95 zinashida ya kuchomoka matairi, jipige ununue rzj120 au trj120
Mkuu ziko nyingi sana lkn isidenti hizo ni nadra sana, ukiwa unafanya sevisi kila mara hilo tatizo sio tatizo tena.
Jamaa abebe tu nami nalikubali hilo
 
Mkuu chukua Landcruaser hadtop zina spring coil mbele .wanaziita macho panzi kama hizi za UNHCR mkuu hutajuta na Ni rahisi kuuza mkuu
 
Habari wakuu,
Nafikiria kuchukua Toyota landcr prado kama aina inayoonekana kwenye picha hapo chini. Naomba mnipe taarifa zake juu ya ulaji wa mafuta na uimara kwake kwa ujumla.View attachment 804548
USHAURI wangu ....

kama ni mtu wa SAFARI ndefu
kama ni mtu wa speed..

hiyo GARI ITAKUUA siku sio nyingi..

hizo gari zina KESI ya mfumo wake wa steering na mfumo mzima wa kushikilia TAIRI

[HASHTAG]#TAIRI[/HASHTAG] za mbele huchomoka upande mmoja..

[HASHTAG]#STEERING[/HASHTAG] kuvuta upande mmoja...
nimeona hayo matukio zaid ya mara TANO... juzi jamaa yangu kaingia katika SHAMBA la miwa.. bahat nzuri hakufa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom