Ushauri juu ya Nokia 201

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
Simu yangu aina ya Nokia 210 ina matatizo lukuki kama ifuatavyo:

1. Inapoteza meseji
2. inagoma kufungua intenet
3. inapoteza majina na namba za watu
4. imepoteza app ya whatsapp

Naomba ushauri wa kitaalamu ni nini cha kufanya.View attachment 126469
 
Nimetumia Nokia kwa miaka mingi ila sijawahi kukutana na matatizo kama hayo. Ngoja waje wenye utaalamu wakusaidie.
 
Simu yangu aina ya Nokia 210 ina matatizo lukuki kama ifuatavyo:

1. Inapoteza meseji
2. inagoma kufungua intenet
3. inapoteza majina na namba za watu
4. imepoteza app ya whatsapp

Naomba ushauri wa kitaalamu ni nini cha kufanya.View attachment 126469
.
Kwenye red Kuna ki2 ulikifanya, haiwez kukurupuka ikaanza tu!
 
Back
Top Bottom