Ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake

Ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake

Mtafute Ben wa Saanane ,anamakala nzuri Sana uyoo jamaa za khs kuachwa na mapenz kwa ujumla
 
Mpeni hata link yoyte yenye makala za nanmna hiyo jmn..
 
kuachwa hakuna utaalamu, kila mtu atakupa kulingana na yy yalivyomkuta cha msingi ni ww ujiulize why umeachwa, tatizo ilikuwa wewe au yeye nini mazingira ya kuachana kuanzia hapo twaweza shauri, tupe kisa ilikuwaje mpaka akaachika.
 
[emoji13] [emoji13]
Ulimwenguni hapa ni vizuri kujifunza na tunajifunza kwa kiasi kikubwa kutokana na mawazo ya watu wengine kwaiyo sioni ubaya pia kujifunza juu ya suala hilo kutok kwa hao waadishi.
Ni kweli, ila kipofu asimwongoze kipofu mwenzke.
 
Kwani bado kuna kuachana siku hizi? au ni kupumzishana tu kwa mda.
 
kuna maisha baada ya kuachwa
1475528310679.jpg
 
Kuna binti nae ana mkasa ka wako,kaachwa na mshkaji lakni bado anampenda sana.ni binti mrembo tu ambae hawez kukosa mtu,nilikua nampigia misele niwe nae lakni kasoro yake kubwa naona ka ana tatizo la kisaikolojia,yani ana matusi hatari.mwisho akaja kunipotezea mwenyewe..hapo juu umeambiwa kuna maisha baada ya kuachwa,jichanganye na watu tofauti,ichukulie hyo hali kama changamoto tu.
 
Mkuu hakuna anayeyajua mapenzi na asikudanganye mtu.Kama ukipata hayo makala jifunze lakini usiyatilie maanani sana...Writers of those journals, most of them are losers of the highest order as long as Love is concerned.
Hii comment ni kweli tupu..
 
Back
Top Bottom