Ushauri juu ya masters programme (postgraduate )

Niendelee na masters au nibaki tu na ka-shahada kangu?


  • Total voters
    2
  • Poll closed .
Joined
May 14, 2016
Posts
54
Reaction score
19
Habari wakuu, Ninaomba ushauri juu ya masters programme ya kusoma yenye motisha nzuri ya kujumlishia kwenye degree ya kwanza (hot cake). (Degree ya kwanza Ilikuwa ya ICT). Kuna baadhi ya kozi za udsm na udom nimezipenda ikiwemo masters ya telecommunications engineering na masters ya electronics eng and information technology. Zote hizo mbili ninaweza jiunga nazo kulingana na entry qualifications zake.. the big issue here is an added value πŸ˜‚πŸ˜‚, i need a masters that can be an added value at work place or e.t.c even if i diverge from my technical skills it's okay bse am looking for a hot cake πŸ˜„ (mtonyo mrefu). Some pple wamenambia project management courses wengine wananiambia MBA and i don't know which is which... tushauriane basiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa hivi unafanya kazi gani? Kuna watu wana degree moja tu, wanapiga pesa ndefu kwenye ajira, wana Masters, hawana ajira au wanalipwa kidogo sana. Kwa hapa kwetu taasisi au mashirika machache sana yanajali kiwango chako cha elimu kuhusisha na mshahara.

Mwisho wa yote, inategemea uwezo wako na unaifanyia nini elimu yako na sio una elimu kiwango gani kinachojalisha. Faida ya kuwa na Masters ni kuongeza wigo na vigezo endapo fursa zitajitokeza. Lakini mara nyingi, degree ya kwanza inatosha sana.

Kama umesoma ICT, soma kozi inayohusiana na mambo ya business.
 
Nadhani kwanza uondoe hiyo poll hapo juu kwa sababu tayari ni wazi kwamba unahitaji kusoma shahada ya uzamili (masters degree), ndipo tukushauri kwa haki kulingana na mahitaji yako, vigezo, fursa zilizopo au zinazoweza kujitokeza na mengineyo.

Ninachomaanisha ni kwamba naomba mjadala huu uwe na AJENDA MOJA.
 
Nimekuelewa mkuu, hapo kwenye business, which one? MBA au?
 
Ndio walewale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…