Ushauri juu ya mapenzi

Ushauri juu ya mapenzi

Unajua sometimes people simply fall out of love. The things that drew you to each other are no longer significant. You might have shared the same likes, hobbies etc but when the spark is dead there is nothing you can do about it, you just have to move on.

Wewe ndie unaejua hali halisi ikoje. Je, kuna mahitaji alikuwa anakutimizia hayapo tena? ... What has changed... Take it step by step. Usikurupuke.

nimekuelewa saan nashukuru kunieleza haya let me be strongc enough kufany maamuzi. cz nimempenda saan naona naishia kuumia tuu. i will lookn foward ....
 
habari wana MMU. mimi ni msichana niko kwenye relation miaka minne sasa. bt kwa sasa mwenzangu naona amebadilika hakuna mahusiano mazuri teena. nikimuliza kwa nia njema. ananiambia napenda kulalamika.
najaribu kumwelekeza kila namna bt naona kama naharibu. yeye anadai tumeshazoeana so hamna haja ya mapenzi kama ya mwanzo. hii hali inaniumiza saana. kiukweli nampenda saana bt haya mahusiano yananiboa saana. naombeni ushauri wenu natamani mahusiano yetu yawe mapya kila siku. bt mwenzangu cio mtu wa kushaurika anadai cijiamini. au hii ndio tabia ya mahusiano ya mda mrefu.

Ole wako ukubali kuolewa na huyo mwanaume..utakuja kuyakumbuka haya maneno.
 
habari wana MMU. mimi ni msichana niko kwenye relation miaka minne sasa. bt kwa sasa mwenzangu naona amebadilika hakuna mahusiano mazuri teena. nikimuliza kwa nia njema. ananiambia napenda kulalamika. najaribu kumwelekeza kila namna bt naona kama naharibu. yeye anadai tumeshazoeana so hamna haja ya mapenzi kama ya mwanzo. hii hali inaniumiza saana. kiukweli nampenda saana bt haya mahusiano yananiboa saana. naombeni ushauri wenu natamani mahusiano yetu yawe mapya kila siku. bt mwenzangu cio mtu wa kushaurika anadai cijiamini. au hii ndio tabia ya mahusiano ya mda mrefu.
Mmmm: Hizo saaana zako.... Koh koh koh. Kwi kwi kwiiii
 
Tazama kulia.... Kama kuna miba chukua panga kata lakini ukiona haikatiki...
Geuka nyuma tazama kushoto anza safari mpya
 
habari wana MMU. mimi ni msichana niko kwenye relation miaka minne sasa. bt kwa sasa mwenzangu naona amebadilika hakuna mahusiano mazuri teena. nikimuliza kwa nia njema. ananiambia napenda kulalamika.
najaribu kumwelekeza kila namna bt naona kama naharibu. yeye anadai tumeshazoeana so hamna haja ya mapenzi kama ya mwanzo. hii hali inaniumiza saana. kiukweli nampenda saana bt haya mahusiano yananiboa saana. naombeni ushauri wenu natamani mahusiano yetu yawe mapya kila siku. bt mwenzangu cio mtu wa kushaurika anadai cijiamini. au hii ndio tabia ya mahusiano ya mda mrefu.

Wee akufukuzaye hakwambii toka kupenda bongo unajitesa bure huyo hakupendi penda unapopendwa
 
my dear kibobo mapenzi hayalazimishwi jaman kwanini uumie wewe tu...give him a space ila nakataa sana mahusiano ya mda mrefu kashakutumia na haoni umuhimu wako ukweli ndo huo.

jitahid kujitambua kuwa wewe bado ni kijana na unatakiwa kusonga mbele chukua uamuzi wa kusonga mbele.
 
badi acha uchawi kwa mahusiano ya watu ushauri mbaya sana, usiangalie one side! cha msingi angalie nini kilikuwa kinafanya wanaona fahari kukukaa pamoja na kuvinjari akaze boot sometime pesa inazingua tunachuna make tukisema mnajidai kununa so tunakufa kidume!
Its time kufanya analysis ya uhusiano wenu. Kuna mambo ukiwa kwenye ndoa unaweza kufanya. Like spicing up the romance and giving your marriage your all. To ensure the romance is alive.

But for a mere boyfriend who doesnt add value to your life let him go. Four years is a long time to be in just a relatonship with no sign of commitment in the near future. You probably don't wanna hear this but its the truth.
 
badi acha uchawi kwa mahusiano ya watu ushauri mbaya sana, usiangalie one side! cha msingi angalie nini kilikuwa kinafanya wanaona fahari kukukaa pamoja na kuvinjari akaze boot sometime pesa inazingua tunachuna make tukisema mnajidai kununa so tunakufa kidume!

Sijatoa ushauri mbaya.

There are somethings worth doing for a husband.

But for a bf? No No No!
 
my dear kibobo mapenzi hayalazimishwi jaman kwanini uumie wewe tu...give him a space ila nakataa sana mahusiano ya mda mrefu kashakutumia na haoni umuhimu wako ukweli ndo huo.

jitahid kujitambua kuwa wewe bado ni kijana na unatakiwa kusonga mbele chukua uamuzi wa kusonga mbele.

thank u.. ur right safari moja huanzisha nyingine...let me look foward
 
Back
Top Bottom