Ha ha ha shida weweDawa yakuepuka ukimwi ni kuto kupima.
Da! Pole mkuu, kupima kunahitaj ujasiri. Ila ni vuzur ukajtambua AFYA yako ili uishi kwa Amani na uanze mwenendo mpya. Ni vzur ukapime kwa maana hata usipoenda itafikia wakati WA kuoa baadh ya familia huwa hazikubar kukupa mtoto wao mpk mpime kwa pamoja. Sasa hapo ndipo kichwa kinapo anZia kuuma. Ukipima ukajtambua Bas utakuwa na tahadhari kubwa sanaKi ukweli ni jambo linalohitaji ujasiri wa hali ya juu.
Tulikaa na marafiki katika story na kila mtu akawa ana hofu juu ya kwenda kupima.
Binafsi huwa najiuliza kwanini nisiende kupima lakini pia najiuliza je nikikutwa nao then what?
Nitaweza kuhimili condition hiyo?
Na je vipi ikiwa nimechelewa kufanya vipimo hivyo?
Vipi mpenzi niliyenae kama ninao na nimemwambukiza atanielewa?
Nitaishije baada ya hapo?
Je ni sehemu gani hasa niende yenye usiri?
Iwapo nikagundulika ninao ni wapi nitapata matibabu bila watu kujua?
Kuna maswali mengi hua yanakuja mtu anapofikiria kwenda kupima.
Jf Doctors na wataalamu wengine humu Jf ningependa mtoe ushauri wa kuencourage kwanini kwenda kupima au kutokupima.
Atleast kabla Deception hajatokea.
Ghafla unaairisha harusi, lakini kama umeeshanza kuonja tunda inakuaje?Da! Pole mkuu, kupima kunahitaj ujasiri. Ila ni vuzur ukajtambua AFYA yako ili uishi kwa Amani na uanze mwenendo mpya. Ni vzur ukapime kwa maana hata usipoenda itafikia wakati WA kuoa baadh ya familia huwa hazikubar kukupa mtoto wao mpk mpime kwa pamoja. Sasa hapo ndipo kichwa kinapo anZia kuuma. Ukipima ukajtambua Bas utakuwa na tahadhari kubwa sana
Don't believe that man, deception means uongoMkuu wasiliana na mtaalam mmoja humujf anaitwa Deception
Hahahaaa! Nakumbuka kichwa kiliniuma sana nilipopewa taarfa kuwa wazaz WA mke wanataka nipme kisha niwapelekee majibu!! Nikamfata doctor na kuanza kumyumbisha ili anipe majbu bila kupima!! Bembeleza wee doctor wapi!! Ndio kwanza anazid kunipa nasaha. "Ooh we Pima tu mdogo wangu kwani ukisha jitambua inakuwa rahisi kujilinda na kuwalinda wengine,"Ghafla unaairisha harusi, lakini kama umeeshanza kuonja tunda inakuaje?
Bingo ulijipa pressure bure.Hahahaaa! Nakumbuka kichwa kiliniuma sana nilipopewa taarfa kuwa wazaz WA mke wanataka nipme kisha niwapelekee majibu!! Nikamfata doctor na kuanza kumyumbisha ili anipe majbu bila kupima!! Bembeleza wee doctor wapi!! Ndio kwanza anazid kunipa nasaha. "Ooh we Pima tu mdogo wangu kwani ukisha jitambua inakuwa rahisi kujilinda na kuwalinda wengine,"
Kishingo upande huku kichwa kikinigonga ile mbaya, nikiwaza hivi km nikikutwa nao ndoa c itahairishwa?? Hii c aibu? Ntaishije? Nitawaambiaje ndugu zangu?
Mwisho WA Siku nikaamua lolote na liwe nitajua mbele kwa mbele. Doctor akachukua vipimo huku akinipa moyo kuwa nisiwe na was was kwani kuwa na ukimwi cyo kufa coz wengi wanao na mpk leo wanadunda!!
Majibu c yakaja bwana!! Kiroho kilinirukaje!! Kama kawaida ya madoctor kuuliza
"Enhe bwana flani ukotayar kwa kupokea majibu yako?"
Nikashusha pumzi nikamjibu
Bwana doctor we nipe tuajbu yangu. Akaniuliza endapo km utakutwa umeathirika utawalindaje wengine?
Nikamwambia nitawalinda tu doctor we nipe majbu.
Tahamaki!! AAA bwana...vipimo vinaonyesha uko salama hvyo.....;
Kwakweli sikuamini hasa ukizingatia hzo njia nilizo pita wakat mwngne hazkuwa kwa uangarifu pia sometym unatoka kupita sehem bdaye umekaa na washkaj maskani yule bnt anapita unasikia story aah, huyu dem kaisha, c alitembea na flani ambaye kaathirka!! Hapo kiroho lazima kiruke!! Story km hiz zilinifanya nijihis tayar ninao ingawa ckuwa na uhakika 100%. Nikawa naogopa hata kwenda kupima nikihis nitajiongezea pressure buree!!
MPA inafikia stage ya kutaka kufunga ndoa ndipo hapo kchwa kilipo anza kuuma nikirecall matukio yoote ya nyuma nikajuhc Tatar nimekamatika na sina ndoa tena.
Lakini mwisho WA Siku nilicho jifunza in kwamba watu wengi mtaani wananyooshewa vidole kuwa ni waathirika ksa alitembea na flani mwathirika kumbe LA!!
Namshukuru mungu tangu nilipofunga ndoa mpk hii Leo nimekuwa mwoga sana WA kwenda njia za panya yaana kfupi kwanguno
Si ndio hapo sasa. Ila kwa sasa nimekoma! Sita bet tena na AFYA yangu hvyo kwangu michepuko nooooBingo ulijipa pressure bure.