Ushauri juu ya kukaa hostel au kupanga mtaani

Ushauri juu ya kukaa hostel au kupanga mtaani

Kama first year kaa tu chuoni, mwaka wa pili ndio ucheki utaratibu.

Maisha ya chuo kuna kipindi yanakuwa tough, hela ya msosi hakuna, huna hela ya nauli ikitokea emergency chuoni, unaweza kwenda chuo pindi likagairishwa inabidi urudi bure tu home. Ila ukiwa hostel ni rahis kupata msaada ,huko unakopanga unakaa na watu wengine sio wanachuo sio rahis kukusaidia ukikwama.

Kiufupi kama lengo lako sio kuvusha mademu we kaa tu hostel za chuo
 
Wanajukwaa poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu.

Husika na kichwa hapo juu mimi ni mwanafunzi wa bachelor mwaka wa kwanza katika mwaka wa masomo 2023/2024 naombeni Ushauri wenu kati ya kukaa hostel au kupanga mtaani kipi Bora.

Naomba kuwasilisha [emoji120]
Panga mtaani dogo. Hostel ujinga mwingi huko
 
Back
Top Bottom