Devyson Rodgers
New Member
- Aug 23, 2022
- 2
- 2
Jamani naombeni ushauri, Mimi nimechaguliwa UDISM course ya "bachelor of art in language studies, nlikua naomb mnisaidie kuniambia kama nitasoma hiyo kozi nitafanya kazi gani baadae au nitakuwa nani?
Ukariimani na uhariri wa vitabu..kila jema.Jamani naombeni ushauri, Mimi nimechaguliwa UDISM course ya "bachelor of art in language studies, nlikua naomb mnisaidie kuniambia kama nitasoma hiyo kozi nitafanya kazi gani baadae au nitakuwa nani?
Shukran saanahMi pia nilisoma hio, waweza kuwa mhariri wa miswada na makala mbalimbali, mtayarishaji wa kamusi, mkalimani na mtafsiri wa lugha(hutegemea utasoma lugha gani kati ya kifatansa, kiswahili, na kingereza) pia waweza kuwa mkufunzi wa masomo ya mawasiliano kama ukihitimu na GPA kubwa
Tulia wewe acha watu wasome.Usisome jikite kwenye biashara hiyo hela na muda unaopoteza havita rudi tena .Ukija kugundua Elimu inatufanya tuwe wa jinga na maskin umechelewa
Kwani akisoma hatafanya biashara... tulia wewe form fwiriii failureUsisome jikite kwenye biashara hiyo hela na muda unaopoteza havita rudi tena .Ukija kugundua Elimu inatufanya tuwe wa jinga na maskin umechelewa
Umechaguliwa au umechagua mwenyewe?Jamani naombeni ushauri, Mimi nimechaguliwa UDISM course ya "bachelor of art in language studies, nlikua naomb mnisaidie kuniambia kama nitasoma hiyo kozi nitafanya kazi gani baadae au nitakuwa nani?
Unamaanisha 3.5 sioMi pia nilisoma hio, waweza kuwa mhariri wa miswada na makala mbalimbali, mtayarishaji wa kamusi, mkalimani na mtafsiri wa lugha(hutegemea utasoma lugha gani kati ya kifatansa, kiswahili, na kingereza) pia waweza kuwa mkufunzi wa masomo ya mawasiliano kama ukihitimu na GPA kubwa
Unaweza ukawa unasoma huku unafanya biashara piaUsisome jikite kwenye biashara hiyo hela na muda unaopoteza havita rudi tena .Ukija kugundua Elimu inatufanya tuwe wa jinga na maskin umechelewa
Ukalimani ✅Ukariimani na uhariri wa vitabu..kila jema.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
3.8 kwenda juuUnamaanisha 3.5 sio
Mkuu, nje ya ukufunzi hiyo kozi wanaajiriwa ajira kudumu katika taasisi gani? Au ni deiwaka tu?Mi pia nilisoma hio, waweza kuwa mhariri wa miswada na makala mbalimbali, mtayarishaji wa kamusi, mkalimani na mtafsiri wa lugha(hutegemea utasoma lugha gani kati ya kifatansa, kiswahili, na kingereza) pia waweza kuwa mkufunzi wa masomo ya mawasiliano kama ukihitimu na GPA kubwa