Azniv Protingas
JF-Expert Member
- Oct 29, 2020
- 346
- 580
Unataka tufanyeje kk 🤣🤣[emoji848]hivi kumbe kuna watu bado mna soma
OkOffshore Seamen angekuwa available angekupa mwongozo
Shukran ngojea nn mm nizifanyie utafiti zaidiKasome diploma mojawapo kati ya hizi civil, mechanical au electrical
Uchaguzi ni wako
Biomedical engineering naweza kujiajiri vp wakati nnavyojua ni mpk niajiriwe hospitali. Pia civil engineering kwa Diploma naona km maboss kutoka kazi sio rahisi mpk uwe na degreeChagua kati ya Biomedical Engineering au Civil Engineering, hizi course unaweza ukajiajiri ama ukaajiriwa pia.
Alafu inaonekana una admire kusoma saaaana kijana, ebu penda tafuta hela
Diploma ya engineering utakuwa kama fundi mchundo kama unaridhia. Biomedical nina girlfriend anasoma uko, since anaanza chuo miaka mitatu hii amesikia nafasi za ajira mara moja ambapo ndipo my sister aliyegraduate mwaka juzi aliajiriwa. Biomedical wenye Degree wachache, hawahitajiki sana na vituo vingine mikoani wanatumia Lab technicians na pharmacologist kubahatisha kazi za biomedical. Hata ununuzi wa vifaa unakuta hawaitwi wanaitwa kufunga, bado hawana bodi kitaifa. Ni kozi haina watu wengi ila itajaa haraka wabongo wanasoma kwa mkumbo.Biomedical engineering naweza kujiajiri vp wakati nnavyojua ni mpk niajiriwe hospitali. Pia civil engineering kwa Diploma naona km maboss kutoka kazi sio rahisi mpk uwe na degree
Hiyo form six yako bado haija kukomboa. Sikunyingine ukiomba ushauri jifunze kuuliza pale ambapo uelewa wako ni mdogo, kuliko kubisha.Biomedical engineering naweza kujiajiri vp wakati nnavyojua ni mpk niajiriwe hospitali. Pia civil engineering kwa Diploma naona km maboss kutoka kazi sio rahisi mpk uwe na degree
Ushimen [emoji38] muache dogo anataka bachelorHiyo form six yako bado haija kukomboa. Sikunyingine ukiomba ushauri jifunze kuuliza pale ambapo uelewa wako ni mdogo, kuliko kubisha.
Then nakuona kama mpwa wangu mmoja mjuaji..... wakati hajui chochote p..mbaf kabisa.
Kwan nmekosea wap, hyo nilivyosema ni kwa mtazamo wangu na research niliofanya, wap ambapo nmebisha una stress za vikoba nn Mzee, kma unashindwa kutoa ushauri kaa mbali. Mwanzo umeanza vizuri, mm ndio cjui chochote ndio mana nikaja hapa. Mbna huyo T14 Armata kanielewa na katoa majibu mazuri na katembea mulemule kwenye mawazo yangu ambayo yanaweza kusaidia na wengine.Hiyo form six yako bado haija kukomboa. Sikunyingine ukiomba ushauri jifunze kuuliza pale ambapo uelewa wako ni mdogo, kuliko kubisha.
Then nakuona kama mpwa wangu mmoja mjuaji..... wakati hajui chochote p..mbaf kabisa.
Acha utoto nyie badae uanze kutusumbua. Kwa nchi za afrika nenda kasome kati ya hiziHabari wana JF kwenye jukwaa la elimu, kma title inavyojieleza hapo juu. Mm ni mhitimu wa F6 mwaka 2022, bahati nzuri au mbaya matokeo yangu hayakuweza kuruhusu nijiunge na degree nlipata (DEE) kwenye masomo ya combination. Nia yangu ilikuwa kusoma data science km matokeo yangekuwa mazuri. Lkn baada ya matokeo nkapata wazo jipya.
Nia yangu ni kusoma MARINE ENGINEERING (hapo pia naomba ushauri kwa hii KOZI kwa wale wazoefu, katika utafiti wangu mdogo niliofanya naona hii ndo career sahihi) pale DMI kwa ngazi ya diploma lkn kwa wakati huohuo nataka kusoma open university kozi ya foundation ili niweze kujiunga na degree (kozi ni tofauti na hiyo diploma ndo mana nataka nifanye hivyo). Ntaka degree ya Bsc. in molecular biology and biotechnology au data science.
Pia nishawahi kusikia kuna mtu alisoma Diploma na huku anasoma degree online university lkn ya nje, na akahitimu kwa wakati mmoja.
N.b Ila kama mtu Una wazo au ushauri zaidi napokea, najua humu kuna watu wenye uzoefu na wabobezi hivyo haishindikani kupata madini ya kutosha.
Hapa umetumia lugha kali na ni kawaida yako mkuu sijui huwa una matatizo gani na vijana, ushauri wako sio sheria wala si lazima akubaliane nao mwenye maamuzi ni mhusika.Hiyo form six yako bado haija kukomboa. Sikunyingine ukiomba ushauri jifunze kuuliza pale ambapo uelewa wako ni mdogo, kuliko kubisha.
Then nakuona kama mpwa wangu mmoja mjuaji..... wakati hajui chochote p..mbaf kabisa.
Samahani mkuu, ile mida nilikua nipo mitungi baada ya kazi maana huku kwetu kama saizi ndio saa kumi na mbili alfajiri.Hapa umetumia lugha kali na ni kawaida yako mkuu sijui huwa una matatizo gani na vijana, ushauri wako sio sheria wala si lazima akubaliane nao mwenye maamuzi ni mhusika.
Sasa dogo kakosea wapi mpaka umjie juu. Mpaka hapa ushauri wako ni batili, huwezi kuutetea mpaka utukane asiyeupokea.