love more than100
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 2,061
- 715
Mmmmh mbona kama changa la machoo... 15-7=8-4za period =4. Alikuja ajakauka vzr au anamznguko wa siku 2 za period 3 kakauka? Na mzunguko wake wa mwezi ni siku 20?alianza 7 mkuu akaja 15 mwez wa 3 tarehe 4 mwez wa 4 "akapima akakuta ana mimba ya 2 weaks
huyo mtoto akija kuzaliwa atakuwa mtoto wa dawa.....huyo bibi kafanya yake!Naishi na mwanamke, tumekaa 3 years hatujajaliwa mtoto. Mwezi wa pili alipata msiba akaenda kwao akiwa kule alinipigia amepata bibi mtaalam wa tiba asili anampa dawa mwez wa 3 tarehe 7 akaniambia yupo siku zake, akamaliza tarehe 11. Tarehe kumi na 5 akaja tukashiriki tendo kama kawaida tarehe 5 a kanuna kipimo kajipima akaniambia ni mjamzito. Dalili kwel niliziona nilikua nimesafiri nimerudi mm siamini kabisa huu ujauzito kwa hesabu zinagoma kabisa kweli.
Mtu anaweza toka siku zake mimba inase?
Ushauri jaman nisije bambikiwa WanaJF.
Wabibi inategemea ni wabibi wa dawa dizaini gani so msiwadhalilishee.Inawezekana japo haikuwa vzur kupata mtoto kwa kupitia mabibi wa jadi kama wewe ni wa imani ya dini.
Sasa kama ulikuwa na imani kwamba atazaa wakati unajua hana uwezo huo, iweje uwaze kupata mimba siku ambazo siza hatari!? Ndo muujiza wenyewe chezea wabibi wewe, ukitaka hata wewe unaweza ukahamishiwa alaf wakati wakujifungua akajifungue yeye!!
mzunguko ana wa siku 28 yaani hii inachanganya usiku sijalala anavyongangania ni yangu hv Kuna kipimo kinaeza onyesha siku na Muda wa mimba iliingia liniMmmmh mbona kama changa la machoo... 15-7=8-4za period =4. Alikuja ajakauka vzr au anamznguko wa siku 2 za period 3 kakauka? Na mzunguko wake wa mwezi ni siku 20?
Mi huwa nadilii kuangalia damu imeanza lini na ni siju ngapi kisa najumlisha then naless na mimba inashika siku ya 8-15 baada ya period.
iko sababu haiwezekani,uaminifu unaanza na mwanamme ukimuonyesha mkeo au mpenzi wako trust mewas was muhim hamuaminiki kabisaa
Ndio... nenda ulaya na nasikia south pia ipoo na d.n.a pia inawezekana na ujauzito. Mzunguko wake na fomula niliyokupa majibu ni hayoomzunguko ana wa siku 28 yaani hii inachanganya usiku sijalala anavyongangania ni yangu hv Kuna kipimo kinaeza onyesha siku na Muda wa mimba iliingia lini
mwanamke yeyote aliyezaa tayari anauwezo wa kunyonyesha, kikubwa ni kumpa vyakula vya kumstimulate atoe maziwa.umenikumbusha mbali sana mkuu mabibi wakinyamwezi wanaweza wakazuia mimba ikaka hata two years ndani.
au kikongwe kutengenezewa dawa akanyonyesha mtoto. ni ngumu kuamini ila yameshatokea.
ni kweli inatokea, i had my first pg in the 8th day after mp.No! Let's be real here. Mimba inaweza tunga kuanzia siku ya 9 tangu alipoingia hedhi. We call first day of menses Day One. So, let's count from day 1 tarehe 7 up to tarehe 15....we arrive to 9 days.
Ushauri: kapige nae ultra sound mjue mimba iliingia lini.
inaonyesha umri wa mimba so utajua imetungwa lini.itaonyesha?
daa una ushauri sana tena sana asante sana umenivutiaelewa mwili wa mwanamke hauna formula maalum kwa maana kua njia hiyo ya kalenda sio mara zote ipo constant huweza kubadilika kutokana na hali ya hewa km kusafiri, stress, maradhi, dawa nk. kwahiyo usikariri kaka kwamba lazima siku za hatar zianze kwenye siku ya kumi au 11.sometimes huweza kuwahi kupevusha yai au likachelewa.
halaf kwann humuamin mwenzako? km ni msaliti kwa nini hakupata hiyo mimba tangu kipindi cha nyuma apate baada ya kupewa dawa za bibi? ashawah kukusaliti huko nyuma? kama wewe uko hivo sio lazima na yeye awe hivo. ata akiwa hivo ujue ni ngoma droo.... be positive na usiweke dhana juu ya jambo usilolijua wala kua na ujuzi nalo.
mfano jiweke ktk nafasi yake halaf fikir ungejiskiaje kupata response hiyo unayomuonesha, na usikute kwa kua mmekaa miaka 3 alikua na hamu sasa amepata halaf unajitia kukataa..... inauma kama sio kukera hasa kwa jambo ambalo huenda si la kweli.
point ya muhim ni kua usihukum bila ushahid wala usiwe na dhana mbaya juu ya mwenzako, unaumiza hisia za mwenzako. mwili wa mwanamke hauna formula USIKARIRI, kalenda sio mara zote iko sawa ndo mana hata wanaozuia mimba kwa kufata kalenda wakat mwengine hufeli.
NENDENI HOSPITAL mkaonane na dk wa kina mama ujieleze waziwazi bila kuficha jambo halafu atakupa somo ambalo linaweza kukusaidia, ukiwa unatafta ushaur ni vizur kuomba kwa ambao wana ujuzi na hilo jambo otherwise utapotea kwa kuskiza maneno ya watu.
hata kama ni bibi kikongwe?mwanamke yeyote aliyezaa tayari anauwezo wa kunyonyesha, kikubwa ni kumpa vyakula vya kumstimulate atoe maziwa.
yes.hata kama ni bibi kikongwe?